Search results

  1. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Kumbe upo mbali sana. Sasa umejipambanua ueleo wako. Nilivyoandika Israel na Palestina nilifikiri umenielewa. Subiri! Twende pole pole, tutaelewana tu. Tuanzie hapa: 1. Benjamin Nitanyahu ni waziri mkuu wa nchi gani? 2. Mahmoud Abas ni Rais wa wapi? Ukipenda kufunguka na kujibu sahihi maswali...
  2. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    1. Tofautisha kati ya Israel na Palestina. 2. Sijui maelezo yako yanalenga Israel au Palestina. Kifupi, wayahudi wanaishi na waarabu katika nchi nyingi tu za kiarabu (Jordan, Saudi Arabia, Morocco, Misri N.K), na wala hakuna matatizo. Ndani ya Israel kuna waarabu wengi tu. "(update states that...
  3. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Aliyelala usimuamshe, muongezee blanketi.
  4. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Sijui una miaka mingapi, ningejua ningekujibu kirefu. Ila pata muhtasari huu: Nchi pekee isiyotawaliwa Afrika ni Ethiopia. Hii ni kutokana na Wa-Ethiopia kuwashinda wakoloni waliokuja huko na kutaka kuitawala Ethiopia. Kama Wangoni wangewashinda wajerumani na wakoloni wengine ambao wangejaribu...
  5. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Wenzako wameingia katika CHANZO na kukuta taarifa za ukweli, ndio maana wanajadili HOJA. Amka!!!!! Acha uvivu wa kusoma.
  6. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Wewe ndio hujui. Kwa taarifa yako hata Hamas iliundwa na Mosad kwa nia ya kuisambaratisha Fatah ya Yaser Arafat. Kilichotokea mwenyewe umekiona.
  7. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Usiwe mvivu wa kusoma, chanzo nimekupa toka kwa Wa Israel wenyewe. Msikiti unahusika vipi hapa?
  8. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Gharama ya kutafuta uhuru ni kubwa. Wangoni laki 3 waliuawa wakipigana na Wajerumani mwaka 1905. Population ya Wangani wakati huo haikufika hata milioni 2. Leo wewe unakaa, uko huru na kuandika bila kujua kuwa safari ya kusaka uhuru ilianzia huko. Afghanistani zaidi ya miaka 30 wakipigana na...
  9. Z

    Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho kushutumiwa kuwa na mazungumzo na Israel. Hamas imeshawahi kuonya kuwa kikundi au mtu yeyote ndani ya...
  10. Z

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Ni kweli, maana hata kufahamu wanaouza hizo pombe feki ni rahisi sana. BEI ZAKE TU NI KIELELEZO KUWA HIZO POMBE NI FEKI. Huyo kiongozi asiseme kuwa ni vigumu kuwakamata wanaojihusisha na biashara hiyo. By the way, POMBE ni haramu, hayo yalishasemwa. Huhitaji hata utafiti. Karibuni katika kundi...
  11. Z

    Baada ya Maandamano Tundu Antipas Lissu amekuwa kimya sana, kulikoni?

    Amepata alichotaka "Maandamano". Hii ilikuwa ndoto yake toka aingie CHADEMA. Hivyo ataendelea kuwekeza nguvu kubwa kwenye Maandamano, ili asitoke nje ya reli mpaka 2025.
  12. Z

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Kuukataa msaada toka Marekani ni kosa la Jinai. Adhabu yake ni kupandikiziwa matatizo mpaka muingie katika vita.
  13. Z

    NATO hii inayotumia bajaji ndio yakupigana na Russia

    Hii ni balaa! Unachapwa kama mtoto mdogo. Vifaru vinageuzwa kuwa chuma chakavu! Mrusi ni mwendawazimu.
  14. Z

    Abdul Nondo alivyoshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa

    Hongera Nondo kali. Umeonyesha ujasiri, Ulikuwa wa wapinzani wakali. Uwateuwe katika sekretariet zako, watakusidia sana.
  15. Z

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Hapa nilipo... Ni mji upi, kata ipi.......Mtaa upi.... Mimi niko kijijini Ifakara... Nguzo za umeme bado hazijafika, hivyo bado tunatumia mafuta ya taa. Wenzetu mliopo mijini mnasemaje juu ya umeme, toka tutangaziwe mwisho wa mgao. Ni siku ya 5 leo, hivyo inatosha kutoa maelezo kama kwa siku...
  16. Z

    Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Hii ndio 3D number plate katika picha. Kifupi 3D inamaanisha kitu chochote kilichokuwepo katika picha katika vipimo vitatu. Upana x urefu x Kina. Namba plates zetu za awali zilikuwa na vipimo viwili, yaani urefu x upana. Madhara: Sijui kama 3D inamadhara yeyote, nafikiri ni suala la polisi...
Back
Top Bottom