Search results

  1. J

    USD 600 million zilizokopwa na JK zimefanya shughuli gani za maendeleo?

    Magufuli: " Karibu miezi sita sasa imepita (tangu bajeti ya 2015/2016 ipitishwe) hakuna fedha yoyote ya maendeleo iliyoenda kwenye wizara yoyote. Fedha yote tulikuwa tunaitumia kwa ajili ya mishahara na vitu vingine." Balozi Sefue atueleze fedha zile za Mkopo USD 600 Mil tangu mwaka 2012/2013...
  2. J

    Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    Peleka mzigo wako kwa Africa Salihiya Shipping Company, tafuta address yao katika mtandao. Unaweza kutuma mzigo hadi Msa kisha ukaufuata mwenyewe au wakakuleteya hadi Dar. Kazi kwako.
  3. J

    Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    If true this article is a hand of kinana, it speaks a lot of mental sickness and propaganda of highest order. Why then up to now they have failed to get the court ruling and close the Sheikhs case rather than holding these activists for no reason apart from political gains of CCM. The game soon...
  4. J

    Makosa gani Trafik na yepi Madalali

    Jamani tutumie uwanja kupeana elimu, hivi hawa madalali barabarani hukamata magari na pikipiki kwa makosa gani? Nitarudi!
  5. J

    Serikali: Tunafikiria kufuta ada kwenye shule za sekondari

    Rais janja sana. Baada ya kuona Keshapoteza umaarufu kaja na gea mbili. Tunafikiria kufuta ada, njozi kwelikweli sasa ukifikira ndio nini? Pili, kukutana na ukawa lakini bila kujadili vipengele vyenye utata. Janja toto sana, na wajinga ndio waliwao vyombo vya habari badala ya kuhoji wanauza...
  6. J

    wenye a/c AMANA BANK.

    Vipo vya bure na vingine unalipia. Muhimu ni kuwa ni benki ya sharia lakini watu wate wanahudumiwa. Hawa jamaa kwa muda mchache wana karibu kila huduma unayoijua na bei nzuri na haman longolongo katika mikopo.
  7. J

    wenye a/c AMANA BANK.

    Benki inaakaunti aina nyingi, zingine zina makato na nyingine hazina makato. Zenye makato ni kati ya Tsh 800 hadi 7000! Savings akaunti ndio zinatozo ndogo. Kaunta ni tsh 700 tu. Kuhusu huduma ya kibenki kwa simu, aisee ni safi sana na tozo ni Tsh 200 hadi 1000 kutegemea na aina ya huduma. Mimi...
  8. J

    Barua ya Waislamu kwa Katibu Mkuu wa CCM Kupinga Mahakama ya Kadhi...

    Wewe huujui uislamu wala uaarabu, haiwi na wala haitokuwa Uislamu eti ni ustaarabu wa kiarabu!! Soma na utafiti wacha kutazama mambo juu juu.
  9. J

    Mahakama ya kadhi ndani ya Katiba - Tanzania

    Pole sana ila ukiandika punguza hisia, panga hoja vizuri kisha tujadili amani huvunjika kwa waislamu kulewa wanalotaka lakini wakipewa wakristo mabilioni ya pesa chini ya MOU amani inadumishwa sio? Wacha propaganda!
  10. J

    14 African Countries Pay Colonial Tax for the benefits of Slavery and Colonization

    Did you know 14 african countries forced by French to pay the above tax until today. Alternatively, google the above subject. After reading ask if Tanzania is not subjected to similar tax and pact with colonizers.
  11. J

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

    Mtu mzima hachapwi viboko dawa yao ni kuwaanika hadharani upuuzi waufanyao kama magazeti yafanyavyo. Isitoshe, bunge hili livunjwe maana waneshindwa kazi. Tushinikize hili kwa njia ya kura ya maoni katika mtandao.
  12. J

    Watanzania wengi ni abnormal

    Fanya uchunguzi kwa nini anapingwa na kisha utueleze na sio kuona mawingu na kusema mvua yanyesha. Hali ulioeleza inaonesha kuna jambo limejificha... Fichua utajua kwa nn wanaandamana!
  13. J

    Mavazi na Utu wetu

    Imepatwa kusemwa kuwa kama kuvaa nguo zinazoonesha mwili au zisizositiri mwili ipasavyo ndio usasa (modernity) basi wanyama ni wasasa zaidi! Mavazi yanasema mengi juu ya usalama wa akili ya mtu hususani juu ya namna anavyojiheshimu na kujithamini kama binadamu...
  14. J

    Sherehe za Uhuru na Shida Zetu

    Wanajukwaa naomba kutoa hoja: Kwa kuwa nchi yetu ni masikini na inakabiliwa na upungufu mkubwa wa huduma za msingi za kijamii wakati umefika kuondoa sherehe kama ya Uhuru na nyinginezo na gharama zake ili fedha hizo ziende katika kuboresha hospitali zetu ziwe na vifaa na wataalumu na pia ili...
Back
Top Bottom