Search results

  1. charty

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Hongera sana cuzoo wangu kwa uamuzi ulichukua,Nakutakia kila la kheri kwenye penzi lako jipya.Mungu awalinde vipenzi vyangu.Ulipo Tupoòoo.Kisses.
  2. charty

    Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

    Vanessa ni mpare na si mchaga.Hata kama kafata maokoto ni kila ndoto ya mwanamke kuwa na mwanaume mwenye kipato, cha kueleweka na sio kuunga unga. Na amani ya moyo ndo kila kitu we mwenyewe unajionea tu kwa macho Vanessa wa Jux na Rotimi ni watu wawili tofauti.Acha ajilie vyake ni mda wake...
  3. charty

    Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

    Aliliiiiliii,says no kwa mahusiano kausha damu.Jilie zako vitamu ndugu yangu.
  4. charty

    Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

    Kabsa,usimpe mtu moyo wako,asiyeona thamani yako.Japokua ni ngumu kuanza upya lakini ni bora utoke kwa maumivu makali ila kesho yako ni njema kuliko toxic relationships.Kudos kwa homegirl saivi anajilia mema ya nchi.
  5. charty

    Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

    Kilichonivutia ni namna dada yetu alivyonawiri sana,kweli penzi la kweli tamu ukilipata unatakata tu pasipo hata kupaka lotions. VANESSA ni wakumshinda hips Ruby kweli?Kila lakheri kwao Mungu awasaidie wafunge hiyo ndoa yao mwakani kama walivyosema. P'se girls epukeni kudate na mwanaume...
  6. charty

    Sabaya na wenzake washinda Rufaa dhidi ya Serikali kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Huyu wamuachie huru tu watesi wake wamshughulikie.
  7. charty

    Mfano ukapata shida ya ghafla, una mtu wa kukusaidia kwa haraka?

    Yaani asante nawe pia mara millions, baya au zuri.Popote,lolote,chochote tupo pamoja kama pipa na mfuniko.Yarab nilindie cuzoo angu.
  8. charty

    Leo tumemzika mpendwa Edward Magige kijijini Butiama

    Sawa,Apumzike panapomstahili.Huyo marehemu hakudaiwa Zaka?
  9. charty

    Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Huu ni msiba wa kujitakia na sidhani kama ni rahisi kumrudisha mtu mwenye addiction ya madawa refer Chid Benz,Pauline Zongo nk naona jamaa kaamua kujimaliza mwenyewe, Walaumiwe management/familia yake kwa kutomsaidia mwanzoni tu alipoanza, kama ni kweli basi tushampoteza Guavo low budget,Ni...
  10. charty

    Niliyempata Love Connect anataka pesa muda wote la sivyo ananuna

    Si kweli huyu ni mdangaji wa kiume..huezi omba kitu ambacho uja invest abadani,Natural mwanaume hatakiwi kuitisha pesa kwa mwanamke hayo ni matusi makubwa.. Kumpiga teke manake ampe block haraka sana pasipo kupepesa macho huyo gold digger wa kiume.
  11. charty

    Niliyempata Love Connect anataka pesa muda wote la sivyo ananuna

    Msishangae sana siku hizi wanaume wanadanga,tena usiombe akajua kipato au mishe zako. Hata mshipa wa aibu hawana.Ebu dada piga teke hilo dume suruali.
  12. charty

    Natafuta mke

    Nipo chibaba.
  13. charty

    Natafuta mke

    MashaAllah [emoji122]
  14. charty

    Ally Hapi awa mbeba magunia

    Tatizo mmeshakariri lazima ufanye white collar job ndio uheshimike kwenye jamii ili hali unapokea kamshahara kidogo.Ila mtu akiamua kulima au kufuga anaonekana amepoteza.FYI umfikii Ally hata kidogo hizi harakati ameanza kitambo tokea akiwa kwenye uongozi hiyo Kolowasi farm ni ya kitambo acha...
  15. charty

    Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

    Doh kweli mswahil mpe picha maneno atajaza kurasa,Sio kwa maoni haya[emoji1787][emoji1787].Haya simba njoo usome huku sababu ya kukongoroka.
  16. charty

    Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

    Mbona unapoteza mda wako jamani,ebu rudi Nyumbani kwenu ukaangalie mambo mengine.Acha uoga wa maisha.Hapo ukute unafanya kazi ya bure kisa kuonekana na watu sio jobless[emoji19]
  17. charty

    Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

    Kwahyo babe gal Zuchu alijifananisha na Tems[emoji1787]
  18. charty

    Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

    Sawa Aristotle mjuaji, Umeshinda.
  19. charty

    Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

    Acheni figisu bwana,tusubiri uchunguzi ukamilike mambo yawe hadharani,ajali inakupata sehemu yeyote na mda wowote haswaa hizi ndege ndo kabsa hazitabiriki niliwahi kupanda Rwanda air 2019 alfajir tunatua Kigali matairi yakagoma kutoka tukazungushwa wee kama dk 15 hadi badae ndege ilivyokuja...
  20. charty

    Dawa ya nywele zilizokazwa sana ni nini?

    Siku ingine usisuke uzi,tafuta nywele uki-crochet.Kuna styles nyingi zimetoka.
Back
Top Bottom