Search results

  1. Mp4real

    INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

    Mnada umefungwa,mods futeni uzi!
  2. Mp4real

    INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

    Nope! Inapiga kazi...imepata dereva.
  3. Mp4real

    Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Thank you for ur contribution! My God put more bless to you all amen!!
  4. Mp4real

    Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Dar es Salaam Tabata, Makabidhiano tunafika kwa kampuni niliyokopa wabadili majina ya mkopa kwenda kwa mkopaji mwingine, hata wao wameshauri hivyo.
  5. Mp4real

    Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Jina linasoma la kampuni, siku ukimaliza mkopo inatoka kadi ya jina lako, hata mie mpaka napewa halikuwa linasoma langu.
  6. Mp4real

    Nauza bajaj niliyoichukua kwa mkopo, atakayeitaka atatakiwa kurudisha rejesho

    Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu. Rejesho ni 139,400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni...
  7. Mp4real

    Msakila Kabende - CDM inayokataa BODABODA NA WANAWAKE inajivunia nini?

    Kwa hiyo wanopanda boda pia wanapanda laana.
  8. Mp4real

    Je, ulishampa second chance mtu aliyekusaliti? Je alibadilika kweli?

    Ushauri wangu utakuja kama utajibu haya: 1.mnampango gani ?wa kuoana au? 2.je kwenye hayo mahusiano anakusapport kivip kiuchumi? Anamchango kwa asilimia ngapi katika uchumi wako? 3.na ukimwacha unatafuta bwana yupi tena labda,coz hata unapoenda wanacheat karibu wote. Labda uokoke na Umuombe God...
  9. Mp4real

    INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

    Haihamishiki,ila ukipata majanga ukiwa nayo unahudumiwa.si kunakuwa na mkataba wa mauziano.
  10. Mp4real

    INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

    Asante,njoo ununue bas
  11. Mp4real

    INAUZWA Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA

    Habari! Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA imetembea km 1500. Nimenunua 8,100,000 -Ina bima kubwa mnaita comprehesive ya mwaka 1, itaexpire 07/02/2024. Kwa 600,000 -ina latra ya 32000 expire 07/02/2024 -fire extinguisher 15000. -triangle 8000. -sticker 2000. Ikiichukua ni barabarani tu...
Back
Top Bottom