Nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nifanyaje?

I know, it has been a minute

Bado nimekuta maswali mengi inbox after been gone for 3 years

Sasa kuna MTU kakwama anaomba atolewe shimoni;

MTU: da penny, nimekuwa singo Kwa Miaka 8 sasa, nataka kurudi kwenye game
Naanzaje? Inakuwaje?

Naanzia wapi?

Haya wapendwa naomba mumsaidie kijana mwenzenu mwenye umri WA Miaka 33
Unaezakuwa single ila ni play girl unakuta unatoka na wanaume hata 4 kwa wiki. Ama single hauna kabisa mpenzi, wewe upi kundi gani.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom