Search results

  1. K

    Diwani Kata ya Kyela Matatani Kufuatia Kuanzishwa Mamlaka ya Mji Mdogo!

    Tatizo hapa ni kuwa Mwenyekiti mwenye alikuwa hakimu katika mahakama ambazo tunasema court of no law. Hakuna sheria ya Diwani kumfukuza diwani mwenzake, hapo jamaa kachemka sana. Mahenge kachaguliwa na wananchi na ndio hao watakaomuondoa lakini hawezi kufukuzwa na mtu yeyote yule zaidi ya...
  2. K

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    PASCO, Dr. Harrison Mwakyembe atakamwatwa kwa kukaidi summons ya PCCB na sio kwa matamshi yake. Yale matamshi ilikuwa kujitetea tu zaidi aliwapiga chenga ya mwili PCCB walipomtokea. Hawa Waheshimiwa wanajifanya wapiga kelele ufisadi kumbe wao hwajapata mahali pa kufisadi. Pesa za watu masiki...
  3. K

    Pamoja na kumtumia Mengi mikakati 14 ya Wapiganaji CCM itawaangusha

    Mwanakijiji, Napenda kuungana nawe asilimia mia na kwa mara nyingine umejenga hoja nzuri sana na inaweza kuwa angalizo kwa hawa wana mgambo. Napenda kuwajulisha kuwa Makara hii kama ilivyo itatoka kwenye gazeti la TAZAMA TANZANIA linalotoka mara moja kwa juma, kwa hiyo changamkieni. Kikubwa...
  4. K

    Kyela: Random rumblings from an outsider!

    Wee Mods, Ujui Mwakyembe alijaza mamluki kibao humu ndio maana kila siku utasikia Kyela Kyela, anatafuta kura za huruma. Mimi nina king'amuzi, hawa mamluki wote wajiondoe humu.
  5. K

    Siasa za Mbeya 2005-2010

    Masanilo, Ningekujua unaishi wapi basi nisingeumiza kichwa changu. Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, mtu mzima hatishwi ny'au, sasa huyo Mwakyembe wenu kama anapika habari ambazo hazipo basi ni mtu wa hatari sana. Anateka nyara wapiga kura wake huku akiwaomba wamsaidie 2010, nani atampa...
  6. K

    Kingunge amechanganyikiwa?

    SAIDSABKE Nadhani wewe ndiye uliyepotoka kuliko huyu mzee. Waraka wa Waroman naomba uutafute na uusome na hapo ndipo utakuja kugundua kuwa huyu mzee ameishiwa fikra na hoja pia. Watu wanamwita fisadi kwa vile waraka ule umebeba mahudhui ya kushauri na kukataza watu wasiwachague mafisadi...
  7. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Tatizo la Mwakyembe amejaa uongo na uzushi mwingi, ndio maana Kikwete alimnyima uwaziri safari zote mbili na hatapa ng'oo kama Kikwete akiendelea kuongoza Tanzania pamoja na kujikombakomba kote. Watu wana macho na wanaona nini kinafanyika Kyela na nani anafanya mambo Kyela. Anacha kuchapa kazi...
  8. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    NYEPESI NYEPESI. Wana ukumbi, leo nilipata kuongea na jamaa yake Mwakyembe, ndg Elias Mwanjala ambaye alikuwa mpiga kampeni mkubwa sana 2005 na alitumia pesa zake nyingi kumsaidia Mwakyembe kupata kiti hicho. Elias anasema kuwa Mwakyembe amemfanyia mambo mabaya sana na baado anaendelea...
  9. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Balantanda, Kwa mara ya kwanza nimeona umejenga hoja nzuri na umenikumbusha mbali sana. kura ni Bujonde, Kilasilo, Nkuyu n.k na sio JF. Na kama kuhitimisha mjadala basi wewe ume-winding up. Tatizo humu wamemwanga hata watu ambao kwa mara ya kwanza wanaandika kwenye computer kisa Kumpaka...
  10. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    FIRST LADY, Ebu nenda katuwakilishe, maana wenzetu baado mnadai uhuru. Watu wanaaghaika na kujikomboa na janga hili la umasikini, Mbunge mfalme anataka kutukuzwa kwa kuwa mtukufu kwa kubebwa kana kwamba hayo ndiyo walimchagulia wanakyela. Kweli Wanakyela poleni sana, mmelamba grasha, huyo...
  11. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Nakubali mkuu, mimi ndio mwenyewe, unataka nikugawie bango moja la kampeni ubebe na wewe? Kumbe upendi, basi tutafanya kampeni hadi dunia igeuke, na jamaa yako tutampiga chini kama chaguzi zilizopita za jumuiya.
  12. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Aah!!! Kumbe ulikuwa unashauri? Lakini ujumbe wako hauonyeshi kushauri bali unaonyesha tatizo la kuanza kampeni mapema. Kwa taarifa yako, kampeni hapa zimeanza muda mrefu na George kachelewa. Uliona Waziri mkuu PINDA alivyompigia debe Prof. Magembe jimboni kwake? Malecela na mke wake...
  13. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Balantanda, Najua unaishi dunia ya miaka 2000 iliyopita ndg yangu. George kachelewa, wenzie walianza 2006. Wee karaga bao, utakuja kuchelewa hata siku ya kufa. kgwamaka
  14. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Wewe Mnyakyusa wa kandete, Kama unataka kujua nini kilitokea SUA si nenda chuoni watakupa data zote badala ya kuanza kuumiza kichwa kuulizia kitu kidogo kama hicho. Lakini Kwa habari yako, Mwakalinga amesoma shule zake kwa umakini na mafanikio makubwa sana, uliza Rungwe Secondary, uliza...
  15. K

    Na mama mkwe naye anataka!

    Mkuu, hiyo noma sana, ukiweza jirushe tu kama inalika sio haramu.
  16. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Mtanzania, tunashukuru kwa kutupa yaliyojili Kyela wakati wa ziara ya Mbunge Mtarajiwa Mwakalinga. Ni ukweli usiopingika kuwa wanasiasa wanataka sana huruma ya wapiga kura ili kunusuru ulaji wao hata kama hawajafanya chochote kwenye term iliyopita. Wanazua mambo ambayo kwa msomi yantia...
  17. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Pole bwana Mwakalinga. Debe tupu haliachi kutika, hata akutumie budozer, hatafua dafu, amepatikanika, maana maendeleo sio maandamano kila siku mandamano utadhani anadai uhuru. Alimtuma hata jamaa yake Kifukwe aje London ili kukushawishi usije kugombea, lakini aligonga mwamba, hofu imewajaa hao...
  18. K

    Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

    Mwafrika, Kama Mwakalinga ni fisadi, umeshindwaje wewe kumpeleka kisutu? Mwakalinga ni safi ndio maana hofu na mashaka yamewajaa wanaotumia wimbo wa mafisadi maana hawana sehemu ya kumpata na kutimiza neno kutapatapa wanaamua kuimba yuko nyuma ya mafisadi ili kujikweza kiasa na kurudi kwenye...
  19. K

    utambulisho

    OPS!! Nilidhani ni KAGODA, wanted, ingekuwa muda mzuri tukupeleke ukajibu mashitaka yako Kisutu. anyway, karibu sana.
  20. K

    Sitta awashukia maadui wake: Amwita mmoja "Mhalifu sugu"!

    SITTA anatakiwa kuwa muwazi na sio kuongea maneno ya kufikirika. Anatafuta huruma ya wapiga kura wake, maana sasa kapata mpizani wa kumng'oa 2010. Kama kweli hao watu wapo na anawafahamu si awataje kwa majina na sio Hadithi za kufikirika? Mbona Slaa alimtaja mpa Rais Kikwete pale mwembe Yanga na...
Back
Top Bottom