Hao watengenezaji wa 3d wanaharibu biashara kivipi wakati Bila plate no zao hizo 3d zinawekwa wapi ? ... By the way Kwa namna moja ama nyingine 3d zimebooat Sana sokonla plate no maana hata yule mwenye plates za zamani inamlazimu kuweka Mpya ili 3d ipendeze vizuri .
Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma 3d plate no Ni uongo mwepesi Sana , Ina maana ndani ya kipindi chote ambapo 3d zimekuwepo , gari zenye 3d zimekuwa hazikamatwi na torch zao ? Binafsi nilishakamatwa na hizo camera nikiwa nadaiwa na gari ilikuwa na 3d
Je unapenda gari lako kuwa na muonekano mzuri na wa kijanja unaonendana na wakati wa sasa ?
Kama ndivyo karibu ofisini kwetu tukutengenezee 3d plate kwa gharama nafuu
Tunapatikana Kariakoo, Kibambawe na Jangwani Street
Mawasiliano 0713 979798
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.