Search results

  1. luqmand

    Leo nimemfumania live bila chenga

    Hamna hata kipya kinyemi wala nini hapa nilipo nna maumivu ya moyo karibu mwezi mzima, unampenda mtu unamthamini kwa kila kitu na bado mnafanya kazi ofisi moja anatongoza wengine inaumiza sana sijui kwann Hamna ubinadamu, bora umwambie mtu kama umuhitaji tena kuliko kumuumiza bila sababu
  2. luqmand

    Leo nimemfumania live bila chenga

    Pole mwaya yani wanaume sijui wameumbwa vipi dah hata ujitoe kiasi gani kwake bado haridhiki
  3. luqmand

    Alphonce Mawazo Kutokuzikwa Kesho

    Pumzika panapo stahili kamanda
  4. luqmand

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Nimekutana na mkuu idawa jukwaa Fulani nilijua una udhuru mkuu tafadhali unasakwa huku
  5. luqmand

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Dah idawa sio fair mkuu
  6. luqmand

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Wanaonyesha clouds TV peke tu wakuu?
  7. luqmand

    TANZIA Mwanafunzi wa UDSM (COET) agongwa na gari

    Dah inasikitisha poleni, R.I.P kwa aliyetangulia
  8. luqmand

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Dah ntakua chizi na huu msako ngoja ntarudi ukimaliza mkuu
  9. luqmand

    Majina mazuri ya kumwita mpenzi wako

    Hahahahahaha thread nyingine
  10. luqmand

    Riwaya: Msako wa Hayawani

    Mkuu endelea
  11. luqmand

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Namaanisha kwa marekebisho yanayofanywa mkuu kwa watu wa arts
  12. luqmand

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Hivi kuna ukweli wowote kama tunaweza badilishiwa vituo??
  13. luqmand

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Mi wilaya ya meru pia hata sijui pakojee
  14. luqmand

    Ommy Dimpoz vs Dully Sykes

    Dully Sykes
  15. luqmand

    Riwaya: UCHU

    Tupunguzie uchu mkuu willy
  16. luqmand

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Dah r.i.p
Back
Top Bottom