Search results

  1. V

    OLAMS Website is not secure

    Make no mistake, anyone can change your OLAMS password and access your private data provided one has your phone number + form 4 index number. HESLB should do something about this ASAP
  2. V

    Kuhusu malipo ya kodi ya Acacia

    "Hata hivyo, pamoja na Acacia kuanza kulipa kodi, inaidai Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Dola za Marekani 120 milioni (zaidi ya Sh240 bilioni za sasa) ikiwa ni malimbikizo ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT). Akijibu maswali ya mwandishi wa habari hizi kuhusu utaratibu wa kampuni hiyo kulipa...
  3. V

    Kamusi ya kiswahili-kiingereza

    Msaada kwa mdau yeyote mwenye kamusi softcopy either pdf format au link ya page yenye translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Kwa ufupi Swahili - English dictionary. Thanks in advance
  4. V

    Je! nitaweza kusoma MSc. in Structural Engineering

    Habari zenu wakuu.. Nahitaji nmsaada kuhusu hili: Eti kwa mfano mtu first degree umesoma Bachelor of Science in Telecommunication Engineering je kuna uwezekano wa mtu huyu postgraduate kusoma Masters of Science in Structural Engineering au Highway Engineering katika chuo chochote. Naomba...
  5. V

    Android app ya Methali za Kiswahili

    Need your feedback ppo..( https://www.dropbox.com/s/wh5yf2coyt3yk0q/Swahili.apk)
  6. V

    Msaada kwa ajili ya chuo na kozi. Form four leaver

    Wakuu nina mdogo wangu. Naamini na nyie mna wadogo au ndugu zenu. Amemaliza form four mwaka jana.. Amepata div III point 28 alisoma arts. Naulizia vyuo na kozi nzuri anayoweza kusoma koz kwenda Advance yeye hawezi na anaona chuo ni option nzuri na iliyobaki. Nawasilisha.
  7. V

    NEWTON vs. EINSTEIN

    Hey folks! who's the "jembest" among the above giants??
  8. V

    Programming & Scripting msaada..;

    Wanajamvi mimi nilianza kujifunza programming tuseme accidentally to it was when I was still in form 3.. Na language ya kwanza kuigundua na kuanza kujifunza ilikua HTML hivohivo kwa bahati nasibu na sikuwa na mtu yoyote yule wa kunisaidia zaid ya kudownload tutorials na kukomaa mwenyewe coz I...
Back
Top Bottom