Search results

  1. josephat japhet

    Sekretariat ya ajira (PSRS)

    Naomba msaada kwa wanaotumia huu mfumo wa kuomba ajira za serikarin. Mara kadhaa sasa Kila nikifanya application inafail nandikiwa. "Sorry! You can not apply for the job post, kindly Check Academic Programmes Qualifications Requirements for the Job Post"" Hii inatokea hata kwenye post ambazo...
  2. josephat japhet

    Usanii fursa za ufadhili wa masomo (Masters na PhD) chini ya mradi wa TANIPAC (Tanzania initiative for preventing aflatoxin contamination)

    Unaweza kuuita ni usanii uliopangwa na watu wanaosimamia mradi wa TANIPAC unaofadhiliwa na bank ya maendeleo ya Africa. Watu hawa walihadaa watanzania kuomba ufadhili wa masomo hukuwakiwa na watu wao tayari wamewachagua. Habar za chini chini zinasema walikuwa na lengo la kukusanya mawazo ya...
  3. josephat japhet

    Ku-trace lacation ya numba ya simu

    Habari wadau, naomba kujua nifanyaje ili niweze ku-trace location ya namba ya simu iliyonipigia au ninayoipigia. Natakiwa kufanyaje au niwe na nini ili kufahamu mtu huyo yupo wapi. Nisaidieni wadau nimetapeliwa kwa simu aise Sent using Jamii Forums mobile app
  4. josephat japhet

    Analytical Chemistry

    Naomba kujuzua ni chuo gani kinatoa masters ya analytical chemistry hapa nchi na gharama zake
  5. josephat japhet

    To jobless teachers

    Ndugu zangu walimu ambao hamjapata shule za kufundisha. Ajira zimekuwa ngumu kupatikana kwa muda sasa, na hata ukipata malipo ni madogo na pengine inapita hata mwezi hujalipwa. Huu ni ushauri tu, tafuteni shughuri zingine za kufanya kama biashara au shughuri yoyote ile itakayokuingizia kipato...
  6. josephat japhet

    Handbags for classic lady's

    Handbags for classic lady's zinapatikana kwa bei nafuu sawa na bure. [emoji162]New modern [emoji162]High quality [emoji162] rangi zote zinapatikana. < Nafanya deliver kwa mwanza. < Bei Tsh 40000/= #0764033080 Nogesha urembo wako kwa handbags za kisasa
  7. josephat japhet

    Taarifa kwa wizara ya elimu, TCU na bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Ni mwezi sasa umepita toka mwaka watatu batch 1 wafungue chuo, katika chuo kikuu cha mtakatifu Joseph. Lakini hadi sasa hivi bado hawajapokea mkopo yao kama meals and accomodation. Vijana wanaishi kwa shida sana. Imefika hadi hatua wanafukuzwa na wenye nyumba. Mara ya mwisho wanafunzi hawa...
  8. josephat japhet

    Chuo cha St. Joseph University Arusha campus Kufungwa Kesho

    Kunataarifa zisizo rasimi kwamba kesho TCU watakifungia chuo cha st Joseph university Arusha campus. Hii ni kutokana na uonevu unaofanywa na management ya chuo kwa wanafunzi wanao ugua au kupatwa matatzo na kushidwa kufikisha 85% ya attendance. Hivyo huzuiwa kufanya mtihani ( UE).
  9. josephat japhet

    Tcu na st joseph university mnaajenda gani ya siri

    Jamani wadau naomba mnipe jibu. kwanini TCU iliikubalia st joseph campus ya arusha wakati hata majengo hayajatengamaa hostel hakuna na chuo kipo porini kweli dada zetu sikwamba watakuwa katika mazingila ya hatar. 2.inawezekana hata tcu walipokuja kukikagua hicho chuo walioneshua kiwanja tu...
Back
Top Bottom