Search results

  1. Kilangi masanja

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    - V51 J6 - guys haka ka soundbar model hio brand ni Vizio kananifaa kunifariji gheto tofaut na misabufa ya kichina? Ufanisi wake wa kiutendaji ukoje ? Pia kwa budget ya laki 4kanafaa kukanunua
  2. Kilangi masanja

    Dizasta vina

    Oya sio poa mwamba anataja jina wagagahikihoko ,Selikavu unakipata hiki ,humo kuna mwamba wa kuitwa makari hodari,wayback
  3. Kilangi masanja

    Pombe miongoni mwa vichocheo vya ngono zembe

    Huo ni ukweli kwa asilimia mia ,pombe huleta maumivu ya nafsi kesho yake baada ya kugundua aidha mwenyewe au kuelezwa ulichofanya jana ,hili huishi kumtafuna mhusika kwa asilimia zote na pengine kwa uchache kuwaahidi watu walio katika circle yake kua hatorudia. Maamuz mengi yanayofanywa na...
  4. Kilangi masanja

    MAONI: Kwenye battle ya flagships, hakuna brand inayoizidi Samsung, hata iPhone haishiki moto wa Samsung

    Nitabaki kua team xiaomi ila nazurura zura kwanza now niko oppo nataka niende china kwa huawei nikitokea apo narudi xiaom
  5. Kilangi masanja

    Dizasta vina

    Hio yuko na gnako naipataje uttaliimba jina langu manake naisaka siipati pa kuipakua
  6. Kilangi masanja

    Dizasta vina

    Top shelf na not a hero nazipata wapi
  7. Kilangi masanja

    Dizasta vina

    Ni kweli kuna siku alinbusu mbele ya mama maza akajua 😁😁😁
  8. Kilangi masanja

    Dizasta vina

    Umetisha bot wa diza ananisaidia kuzimega apa kweli siku mbaya
  9. Kilangi masanja

    Dizasta vina

    Kama hutojal tutashea playlist manake umenirudisha kwa mood yangu hapa nimeamua kuwaamsha hawa wamarekani wanikoshe
  10. Kilangi masanja

    Dizasta vina

    Umenifanya nimuwashe jbl mda huu nile ngoma aisee
  11. Kilangi masanja

    INAUZWA Brand New SWISS TECH. 300,000 Pesa Feki Haipiti..

    Hio mashine ya kufulia nguo bei gani
  12. Kilangi masanja

    Hii Trend ya kukamatwa Wahamiaji Haramu kwenye V8 kuna jambo lichunguzwe

    We nawe kwani ulikua wapi ,hio ni biashara kama maduka ya kariakoo tu ,hapo kila kichwa kuvuka toka namanga kuelekea kusini si chini ya dola 500 sheikhe
  13. Kilangi masanja

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Nimejifunza mengi ila sikuhizi nasaidia sana wanaume kuliko wanawake, na wanawake naosaidia i wale watu wazima sana sana ,hiki kizazi cha 1997 kuendelea kimeshanitoa imani nacho kabisa ,Hio ni miamala ya wadau waliosaidia na kuna uwezekano kuna wengins wengi tu nao hawajatajwa hapo na madau...
  14. Kilangi masanja

    Msaada wa kupata soko la Upupu (Velvet Beans), au Mucuna

    Inshu upishi wake mzee hapo ukibugi umekula sumu ,goma linahitaji upishi wa umakini na si chini ya masaa6 ,hua nawashangaa sana watu wanaula huo bila wasiwasi. Kusini kuna mda debe linafika hadi40k
  15. Kilangi masanja

    Kama ukianza kufuga ungeanza kufuga mnyama gani

    Ningekua na mtaji ningeanza na ng'ombe wa maziwa mmoja
  16. Kilangi masanja

    Msaada: Namna ya kufanya Docomo s10 Plus kusoma samsung s10 Plus inapowaka badala ya Docomo

    Akuna mbadala maybe upige rom , docomo ni ISP huko japan kama sijakosea
  17. Kilangi masanja

    Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Tuishi tu ila tunapitia changamoto sana
Back
Top Bottom