Search results

  1. donbeny

    Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

    Kwenye mpira kijana ni kati ya miaka 15-29,kuanzia miaka 30 hadi 36 hao ni wachezaji wazee ,huwa akili na mwili havina mawasiliano ya haraka na wakiumia wanachelewa kupona
  2. donbeny

    Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

    Hawa wanajeshi wetu ndio walimnyoosha kule DRC walipokuwa wakiwachapa M23 ,
  3. donbeny

    Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

    Usimlinganishe Hayati Mwl Nyerere na watu wasiofanana nae hata kwa 2% ya utendaji ,sie tuliyaona mengi aliyoyafanya kwa taifa na Africa bila ubaguzi wa kikabila wala kikanda.dont ever repeart such at stupid comparison
  4. donbeny

    Tengeneza dawa ya nguvu za kiume nyumbani kwako

    Dawa ya nguvu za kiume ni kupunguza pombe kwa wale wanywaji,mazoezi na chakula bora-chenya protein nyingi na wanga kidogo
  5. donbeny

    Mke wangu amekutwa HIV+

    Mungu amekulinda ,toa shukrani mtunze mtoto wako.Tafuta mke mwingine negative
  6. donbeny

    Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

    Ndio kwani kufa kwa benki ni mtu mmoja amesababisha?
  7. donbeny

    Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

    Cheo cha Mkurugenzi mtendaji huwezi kukipata ukiwa na 30s ,bado hujaiva experience matters. Mbona watu wanapewa uwaziri,DED na vyeo vingine wakiwa above 40?
  8. donbeny

    Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

    Kweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
  9. donbeny

    #COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

    Pfizer hatuwezi kuihifadhi hapa TZ inataka temperature ya -2C to -38C na vilevile chanjo ni za msaada wa marekani hatuna uchaguzi
  10. donbeny

    Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

    Huu mji unashangaza kuna magari no C na D yamechoka sana na kuna Land cruiser no A na B bado zinawaka sana hasa V8
  11. donbeny

    Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Msunbiji wameomba msaada kwa majeshi ya SADC ,na sasa wap huku vikosi vyte vimekamilika kuanza msako wa waasi .Jeshi la msumbiji liligawanyika na kuzidiwa na waasi
  12. donbeny

    Toyota Land Cruiser 70s - Series Moja ya Gari bora zaidi kuwahi kuundwa

    Hiyo ndio Land Cruiser ya ukweli na Engine yake ya 1HZ hatari sanaaa ngumu sana kuharibika
  13. donbeny

    Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Mimi ni mzoefu MD na nimekaa na mke 15 yrs ya ndoa .Pia nimekula wake za watu kwa 6 yrs kabla ya kuoa .Relax baby BOY
  14. donbeny

    Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Wanawake wanaliwa kwa hisia ,ila sisi tunakula kwa tamaa na kujifurahisha .Mtoa mada amekuwa very general kwa wanawake sio kweli.Ila pia jiandae kukamatwa za mwizi ni arobaini.Pia kuna magonjwa ya zinaa na kumeongezeka homa ya ini type B ,sasa kuchapa nje sio ujanja sana
  15. donbeny

    Nyumba tatu zinampatia kodi ya 3,500,000/=

    Real Estate investment is long term investment ,recovery of money will take time and you must also consider repair and maintanance after every 2-3 years.
  16. donbeny

    Mgodi wa Shantamine Chunya unakusanya dhahabu nyingi lakini hauna impact yoyote nchini

    MGODI MKUBWA KAMA ULE HAUQWEZI KUFANYA UJANJA UJANJA ,WANALIPA KODI ZOTE NA MIRAHABA SERIKALINI ,MKOA WA SONGWE UNANUFAIKA SANA NA MRAHABA NA KODI ZA SERIKALI WANALIPA TRA (LAGER TAX PAYERS) WANA MAKAMPUNI MAKUBWA YANAYOTOA HUDUMA NA YOTE YANALIPA KODI STAHIKI ,OFISI YAO DAR ES SALAAM NA...
  17. donbeny

    Mgodi wa Shantamine Chunya unakusanya dhahabu nyingi lakini hauna impact yoyote nchini

    Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,mimi ninafanya kazi SMTL na wanalipa kila kitu kinachotakiwa kama mwekezaji
  18. donbeny

    Unywaji wa pombe una athari mbaya kwenye ubongo, utafiti wabaini

    Kuna unywaji wa pombe kali na zisizo kali kila siku,kuna unywaji wa pombe siku 2 kwa wiki,na kuna unywaji wa pombe siku 1 kwa wiki ,kuna unywaji wa pombe na nyama nyingi ,kipi ni kipi ? Pombe inafanya mtu kuwa na furaha akiwa na marafiki ,sasa pombe hatuachi na research iendeleee
Back
Top Bottom