Search results

  1. K

    Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

    nyie simnataka wazee wapigaji?(walarushwa)lazima mumuone tofauti kwani yupo tofauti na ccm yenu ya wapigaj
  2. K

    Tukisema nchi imefilisika wapambe wa CCM hawaamini, tunathibitsha hivi

    we ndo mzush jwtz hawajapata mshahara acha kukurupuka ndugu mwanajesh huna hata uliyesomanaye huna!
  3. K

    Chama cha ACT-Tanzania kuongoza dola 2015

    Teh teh teh!zito kabwe?
  4. K

    Tanzania isiyo na CHADEMA itakuwa sehemu nzuri ya kuishi

    Kwenu nyie watu wa masaki na ostabey kweli mtakua ka mpo peponi ila sisi wavuja jasho wa buguruni manzese tandale na mbagala twafwa!
  5. K

    Mkoa wa Kigoma ni baba wa mageuzi kwa sasa!

    Unaongoza kwa mayuda eskariot. A.k.a wasalite zone
  6. K

    Mama mwenye nyumba na ndoto

    Ame kugoogle kimiujiza.
  7. K

    Barua ya Wazi kwa Mh. Samweli Sitta

    Mi chadema pure ila ccm jembe ni lowasa tu hawawengine wote ni toilet pepa inatumika kokote kutokana na mazingira.
  8. K

    Biashara gani ya kufanya kisiwani Mafia

    Kiti moto na madikodiko yake yote.wateja nyomi.
  9. K

    LISSU - Sitta ajisahaulisha Uhuru wa vyo Habari na Sheria ya Nchi ya mwaka 1977

    Niseme nini baba sina lakusema juu yako'abarikiwe mama aliye kuzaa na wote wafwatao uwezo na hekima zako za kututetea sisi wanyonge wa taifa hili hasa waalimu kama mimi.mwalimu kigamboni Dsm.
  10. K

    Machali ashushuliwa na Naibu Waziri Wizara ya Maliasili mbele ya mkutano wa hadhara

    machali jembe anatetea wa tz nyie mnalaana ya kuibia wa tz
  11. K

    Wafanyakazi: Ni muda muafaka sasa kwa MGAYA kuachia ngazi TUCTA

    Siunaona alivyo sifiwa na kikwete siku ya meimosi?hutu bayake fupi inavutia haichoshi sio kama zile hotuba za zamani masifa kibao.mgaya amesubiri tu kujishibisha yeye na familia yake@sitaki kura za wafanyakazi.
  12. K

    Mkurugenzi wilaya ya Busega acha kutunyanyasa waalimu

    Huyo kapata nafasi hiyo kwa upendeleo he belongs to ukoo wa panya ndo mana haogopi kitu anafanya anavyo taka ukawa tumaini letu.
  13. K

    P.A.Y.E kwa mfanyakazi kila mwezi kulinganisha na kodi anayolipa mfanyabiashara

    Mwezi ujao sigle digt kutoka 13%hadi 9% karibu mwezi utakao onyesha matumain ya sisi wafanyakazi.ila nasikia daladala kwenda job 800.
  14. K

    Mtumishi wa umma chini ya utawala wa JK amepuuzwa sana na si Bunge wa TUCTA wanaomtetea!

    Sialisema hataki kurayenu nyie mkajipendekeza kumpigia?
  15. K

    Serikali yaanzisha kero mpya kwa wafanyakazi

    Sitaki kura za wafanyakazi
  16. K

    Gazeti la the East African na Agenda ya Kuichafua Tanzania

    Maskini wakenya wawatu wanahangaika kuzima tv kipofu asiangalie najua wanahofia mambo ya utalii wasiogope huku kwetu watu wanawaza dili tu kipakia twiga meno yatembo kwenye meli za makada nk.utalii wanini hata ndege hatuna!msiogope Tanzania ni koloni lenu.
  17. K

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Same magharibi&mashariki hatuna wabunge.
Back
Top Bottom