Mbunge Hakuna Ilemela, Kama Watu wanataifishwa Nyumba na ardhi na amekaa kimya na taarifa anazo Leo atashughulika na vibaka???? Labda kwa kuwa kuna chaguzi za serikali ya mtaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Effect yake ilikua chuki, hata chaguzi za Chuo kama hakuna mgombea wa kiislam hawapigi kura..... Sina mamlaka ningefukuza kabisa kunguni wa tabia hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tatizo la kanisa wala msikiti, tatizo la Udom ni harakati za kidini msikitini sio swala wala uislam...... Hiki kitu kipo na nimekishuhudia nikisoma hapo......
Sent using Jamii Forums mobile app
Í speak from experience, sina chuki na mtu wala uislamu, waislam wa Udom walikua na harakati za udini sanaaaaa, ivi inawezekanaje walimu na wanafunzi waandae kikao Chuo kizima na mashehe wa kiharakati wafuasi wa shehe ponda katika ukumbi wa Chuo, College ya Education wakijadili MFUMO KRISTU wa...
Huyo Dr masoud ndio alikuaga anatoa majibu ya mitihani na possibe angles za mitihani, msikitini 2009-2012 mpuuzi sana, mweusi kama roho yake.... Hajaonewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata supplimentary na disco nyingi hazikua za haki..... Ilifikia hatua wanajua possible question za maswali ya mitihani inayofundishwa na lectuter wa kiislam, hali ilikua mbaya sana, was there 2014
Sent using Jamii Forums mobile app
Ud ilijengwa ikiwa ni College ya EastAfrica university, wakoloni walikua wamishionari wa kikristo..... Kanisa hilo halijawahi kua Nyumba ya harakati za kidini bali sala, kwa case ya Udom, ilifikia hatua binti wa kiislamu akiwa na Rafiki mkristo anaitwa msikitini kujadiliwa, discussion za masomo...
Tatizo waislam ni wadini sana wa waziwazi..... Heri udini wa kikristo sio wa waziwazi, mimi nimesoma hapo nawajua vyema
Sent using Jamii Forums mobile app
Waislam wana mikakati ya kijinga, Roma hata wafanye nini mikakati yao ni ngumu kuielewa, Ila waislamu pale UDOM walijionesha kabisa kua wanabebwa, kuanzia wanafunzi adi watawala na waalimu...... Wabaguzi wa live live..... Akili ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma Udom 2010-2014 hiki Chuo kinaudini sana tena usilamu wa kimkakati ilifika sehemu tuliamini sio cha serikali na kuamini kuna mkono wa gadaf unaotoa mashirti ya kidini
Sent using Jamii Forums mobile app
Prof idris kikula, alikua mdini sana kiasi Kwamba alikua anaendesha harakati za kidini kwa kuruhusu mashekh kuitisha vikao na wanafunzi waislam Chuo kizima
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukuvi anaongea tofauti sana na watendaji Wake, huko Mwanza Ilemela tena jimbo la naibu Wake, Mkurugenzi wa halmashauri ANATAIFISHA NYUMBA ZA MASIKINI na kudai ni Mali ya halmashauri tena kwa ubabe na serikali iko kimya na naibu Waziri hasemi lolote kwa MKURUGENZI
Sent using Jamii Forums...
Upande wa barabara ya musoma, kushoto kama unatoka Mwanza kwenda música tena barabarani, kuna TETESI kua kuna matajiri wanataka wapimie plot za SHOPPING MALL lakini Mkurugenzi analazimisha AWE MIDDLE MAN awapige PESA wananchi za fidia au mauziano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.