Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

Reform zimekuwa zikifanyika miaka nenda miaka rudi. Wengine wamekuwa hata wakifukuzwa kazi. Wamehamishwa sana tu. Wachache wameteuliwa na rais.
Hawa wachache wameamishwa kelele juu. Come on

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndio watu wa iman moja tu na hao ndio walikuwa wakishirikiana na wanafunzi bega kwa bega katika mambo ya dini ndio wameonekana wao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too much hatred against Muslims, hii Islamophobia sijui imetokea wapi katika nchi hii, I trully don't understand.

Hata comment za watu humu zinaonyesha chuki kweli dhidi ya waislamu. That is is very sad!. Na chuki hii nadhani ndo inatrickle hadi kwa watu walioshika nafasi za maamuzi, that is why tunaona maamuzi kama haya yaliyotokea UDOM!
Hakuna chuki ndugu Missile of the Nation, ninyi waislamu ni wanafiki sana. Sisi Wakristo tulipoteswa enzi zile hapo UDOM we took it as part of our faith, tuliteswa na kubaguliwa waziwazi na hata kutungiwa mashtaka ya uongo.
Ninyi mnatafsiri maamuzi haya kidini, kwa ishu za UDOM miaka ile; NAUCHUKIA UISLAMU 100%.
MWOMBENI ALLAH awatetee, sisi tulimwomba YESU bila kuchonganisha waislamu na watawala na alitutetea sana.
 
Hakuna chuki ndugu Missile of the Nation, ninyi waislamu ni wanafiki sana. Sisi Wakristo tulipoteswa enzi zile hapo UDOM we took it as part of our faith, tuliteswa na kubaguliwa waziwazi na hata kutungiwa mashtaka ya uongo.
Ninyi mnatafsiri maamuzi haya kidini, kwa ishu za UDOM miaka ile; NAUCHUKIA UISLAMU 100%.
MWOMBENI ALLAH awatetee, sisi tulimwomba YESU bila kuchonganisha waislamu na watawala na alitutetea sana.

By the way mimi ni Mkiristo pia.

Lakini hebu elezea basi mliteswaje?, Mlibaguliwaje?
Hebu funguka labda kuna kitu hatukijui, kiweke wazi
 
Bila shaka kuna taratibu za kinidhamu juu ya hayo mambo na watu wanaohusika nayo.

Kama ni mtumishi wa umma basi ni kuandikiwa barua za onyo and eventually kutimuliwa kazini

Kama ni mwanafunzi pia upo utaratibu

Lakini hii ya kuzuia nyumba ya Ibada kujengwa halafu unahamisha Watu wa Dini moja kisha Unasema eti ni coincidence tu huku ukizungumza kwa kuonyesha mashakamashaka juu kukaliwa ofisi na watu wenye majina ya Kiislamu, Inaonyesha dhahiri Motive ya Kuwahamisha inatokana na Swali ambalo mtu kajiuliza moyoni "WHY ALL THESE MUSLIMS OCCUPYING POSTS IN HERE?"

Huo ni ubaguzi wa wazi!
Ninyi ni wanafiki. Hadi vyumba tu kupata UDOM ilikuwa nongwa.
 
Hii sasa imekaaje?

Hivi ratiba ya vipindi vya masomo huwekewa utaratibu wa sala tano kwa siku kila siku ya masomo? Utaratibu wa Ijumaa ninauelewa vizuri. Huu wa siku nyingine sikujua kuwa upo, na kama hupangiwa muda wake katika ratiba ya masomo.!

Haya mengine ya kushika nafasi kwa kigezo cha dini yanastaajabisha sana kama ni kweli

Mkuu yote tisa ila haya mambo nilikuwa nawaeleza watu hii kitu udini ni mbaya sana,baada ya jk kuingia madarakani alizidiwa akili hasa na Dau(mjahidina na kiongozi wao mkuu ktk nyanja uanazuoni).Huyu bwana aliitamia akili za jk na kufanya asiweze kugundua ujinga waliokuwa wakiufanya,Dau aliunda mtandao wa wasomi na kuwamilikisha sehemu nyeti ili wajenge himaya ya kiislamu kila kona, kwa kuanzia kule nssf aliwaondoa viongozi wa juu kwa visingizio luluki(DG wa psssf ni mmojawapo) na kuwaleta waislam kuwajaza nssf. Dau alikuwa anahakikisha kila nafasi inayotoka mkristu anaweka mtu wake(kumbuka alishatamia kichwa cha jk).Aliweza kuajiri kwa kumtoa sehemu nyingine muislam alimradi aende nssf.
Madhara yake ni sasa wanaonja joto ya jiwe.Aliwahimfanyia figisu hata huyu mfalme wa sasa wakati wa ujenzi wa nyerere bridge.
Walimfanyia figisu ndugu Singili CEO wa Azania benk wakishirikiana na the then chairman ndugu Kidula hadi kumng'oa pale bank na akatamba kwa jk kuwa keshamng'oa kafiri kule Azania, alipojaribu kumng'oa magori mtoto wa kikurya akamshika makalio.
Ntaendelea baadae.........
 
By the way mimi ni Mkiristo pia.

Lakini hebu elezea basi mliteswaje?, Mlibaguliwaje?
Hebu funguka labda kuna kitu hatukijui, kiweke wazi
Hata supplimentary na disco nyingi hazikua za haki..... Ilifikia hatua wanajua possible question za maswali ya mitihani inayofundishwa na lectuter wa kiislam, hali ilikua mbaya sana, was there 2014

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ud ilijengwa ikiwa ni College ya EastAfrica university, wakoloni walikua wamishionari wa kikristo..... Kanisa hilo halijawahi kua Nyumba ya harakati za kidini bali sala, kwa case ya Udom, ilifikia hatua binti wa kiislamu akiwa na Rafiki mkristo anaitwa msikitini kujadiliwa, discussion za masomo ni msikitini, adi chaguzi eti wanasimamisha mtu wao, adi kura zinapigwa kidini..... Udom harakati za kidini na mikutano ya chuki vilizidi na kubarikiwa na watawala......

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana wanalalamika humu kumbe, maana kwao msikiti ni zaidi ya ibada maana kama issue ni kusali unaweza kufanya hivyo popote maana wapo waislamu wanatembea na vizulia vidogo ikifika muda wa swala anaweka anaswali sasa hawa wamepewa rooms bado wanalalamika sijui ibada zao ni tofauti utofauti wa nini maana nina imani hizo rooms zitakuwa zimekidhi vigezo vya wao kuswali bila bugudha

Lakini kama hayo uyasemayo ni kweli basi ndiyo sababu wanalalamika
 
Zina michango postive na negative. Waulizeni UK. Watu wamezitumia hizo kuleta radical preachers na kurudufu magaidi. Sipendagi kabisa kuingiza dini kwrnye shule zisizo za kidini na hata za kidini. Dini hatari sana kwa usalama wa nchi hata nyakati kama hizi.
Inawezekana Mkuu upo sahihi,ila binafsi naona zinamchango positive zaidi kwa hapa Tz,hasa kwa mfano kijana kakulia na kusomea interior of Tz,ghafla anaingia udsm wengi wanapotea na kujiingiza ktk tabia ambazo, but akijiassociate na religion groups nirahisi baadhi ya mambo on how to interact.
 
Sasa unaonaje serikali ingepiga marufuku kabisa dini? Maana haya matatizo yasingekuwepo ingekuwa impata uvumbuzi wa haya matatizo.
Kuabudu ni haki ya kila mtu lakini serikali haitakiwi kuwa na nyumba za ibada kwenye taasisi zake sababu serikali yenyewe haina dini. Hata Udsm hizo nyumba za ibada ziwe studying room.
 
Hata supplimentary na disco nyingi hazikua za haki..... Ilifikia hatua wanajua possible question za maswali ya mitihani inayofundishwa na lectuter wa kiislam, hali ilikua mbaya sana, was there 2014

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi allegation ni kubwa sana, Je wewe uliwaona watu wenye majibu ya hiyo mitihani?.

Ina maana kama wewe umelijua basi maana yake Idara husika ililijua hilo, College husika likajua hilo, Na Senate nzima ya chuo ililijua hilo, Ina maana vyombo vyote hivyo vilipitisha matokeo ya wanafunzi walioiba mitihani?

Au hujui matokeo mpaka yanakuwa released yanapitia ngazi zipi?

Ndugu yangu usipende kurusha tuhuma za juu juu bila ushahidi!

Katika vyuo, mtihani huwa siyo jambo la mwalimu mmoja ni kazi ya idara na college nzima.

Halafu hebu tazama tuhuma zako zinavyoshangaza, Kama mwalimu kamshika mwanafunzi kisha mwanafunzi akasupp maana yake hakukuwa na upendeleo in the firsr place maana upendeleo ungekuwepo basi angemfaulisha toka mtihani ule wa kwanza tena kwa kumpa mimaksi mizurimizuri
 
Kipi kibaya mkuu. Lakin wameajiriwa na serikal. Serika ndio ina control over them .. na si wanafunzi au chuo.
Kama wameona ni haki kuwahamisha basitatafuta replacement sahihi.
Mkuu ndio watu wa iman moja tu na hao ndio walikuwa wakishirikiana na wanafunzi bega kwa bega katika mambo ya dini ndio wameonekana wao tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok sawa je vp kwa wakristo? Unaweza kuwaelezea vp kwa uzowefu wako maana umetembelea sehemu nyingi katika hii nchi.
Wakristo siyo watu wa kulalamika lamika hata kama wataonewa. Ishtoshe ukristo siyo jengo ni matendo ya mtu.
 
Back
Top Bottom