nionavyo mimi ni kwamba atakuwa amefanya direct response to the job advert kwa kutaja requirements na tasks za kwenye tangazo akidhani kwamba itakuwa impressive.
nakupa moyo sana ngumbuke, ukiamua kwa dhati hakika utaweza. hii nchi imejaa fursa we usipime. huoni wageni wanavyoikodolea macho,ona hata viongozi wetu walivyochanganyikiwa mpaka wamebaki kununua ma ekari ya ardhi kila uchao? kila kiti kiko hapa nyumbani. utavuka amini.
ni maamuzi magumu kwelikweli. kuna siku nikiwa kama mpitaji tu wa jukwaa hili(not a member by then) nikaona kuna mdau mmoja kachangia uzi, yeye alisema alipiga mahesabu current mshahara wake times ten years jibu halikufika 100million. dah nilivyopiga wa kwangu haukufika 90 million. dah sitasahau.
hapa naomba kukazia kidogo--ni kwamba: hata wewe mwenyewe ukifail haimaanishi kwamba hiyo idea sio workable. not at all. unaweza ukarudia hata mara kadhaa mpaka kieleweke. kuna watu walejipinda saan in many many trials mpaka waka invent vitu ambavyo mpaka leo hii ni solution kwa ulimwengu, labda...
ni kweli sana mkuu Red Giant. Hata dhana nzima(sasahivi profession) ya Project Management ilianzia majeshini. majeshi yame experience changamoto na failures nyingi in their operations ndipo wakaja na tafiti na mbinu za kufikia lengo la vita. na hii ya kuchoma meli moto ufukweni ni mbinu...
hapa umegonga penyewe, mi nilivyochoma meli moto sikutangaza kwenye ndoa, mazingira hayakuruhusu. mwenza haamini katika ujasiriamali kama mimi. huu uzi umezidi kunionesha ni jinsi gani hii hatua ni ngumu. sasa yule aliechoma vyeti moto sijui alianzaje!
ni kweli kabisa mkuu Sometimes, yani ukikutana na risk kwenye practise lazima tu utapata suluhu. utai calculate huko huko na ku isolve hukohuko. hii topic bab kubwa aisee.!!
Chasha mimi kilichonikera sana kwenye kuajiriwa mpaka kufikia kuuona ni utumwa ni ile hali ya expenditure yangu kudhibitiwa na mtu mwingine. Hata kwenye ajira binafsi expenditure iko controlled lakini i love the difference: that i am now the controller. na hakuna kitu kilikuwa kinaniboa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.