Search results

  1. Mrs Bishanga

    Nimejifunza kitu kuhusu Sadaka

    Yeah sadaka ni muhimu kwa wahitaji
  2. Mrs Bishanga

    Nimejifunza kitu kuhusu Sadaka

    Lusungo Lusungo nisamehe nimekopi ndefuu
  3. Mrs Bishanga

    Nimejifunza kitu kuhusu Sadaka

    Matendo Ya Mitume 10 Neno: Bibilia Takatifu Mungu Ajibu Sala Ya Kornelio 10 Katika mji wa Kaisaria aliishi afisa mmoja wa jeshi ambaye alikuwa kamanda wa kikosi cha Italia, jina lake Kornelio. 2 Yeye alikuwa mcha Mungu pamoja na jamii yake yote. Alitoa msaada kwa ukarimu kwa watu na kumwomba...
  4. Mrs Bishanga

    Nimejifunza kitu kuhusu Sadaka

    Wachoma mahindi wana hela weweeee We wazarau tu Ila Mungu aikumbuke sadaka yako kama alivyoikumbuka ya cornelius
  5. Mrs Bishanga

    Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

    Naskia kuna mnywa whisk kupindukia huko giningi #jamanikuchazangunazipenda
  6. Mrs Bishanga

    Weekend story: A Woman of the people

    Me mzima ndugu ....naona watu wanafanya flashback ....japo natamani kukiona kijukuu cha MMU... na max alikumbuka kupeleka kitanda cha mjukuu kweli maana kama baba ndo hivyo aliyeyuka bas ni jukumu la babu jf kusimamia shoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naona wakongwe...
  7. Mrs Bishanga

    Hii ni Familia ya Kanali Hans Pope

    Nakohoa hapa hadi naogopa, mifupa inatetemeka baridii sjui ni nini siku tatu hizi. Mungu niepushie hlo dubwasha la kuitwa uviko
  8. Mrs Bishanga

    Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Hahahaha kwamba natakaje kwa mfano? Usinchekeshe bwana... Me siko kihivyoo Kwanza hawez kuweka picha yake hapa eti sababu ya ubishani...
  9. Mrs Bishanga

    Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Pic nzuri na mwili mzuri Lakin na ww ubishani tu wa huku jf ndo uweke hadi picha yako halisi?
  10. Mrs Bishanga

    PSSSF Mfuko wa pensheni kwanini hampokei simu na hamjibu email

    Wastaafu bado wanateseka ya rabi... I can imagine maza atakavyosota maana ndo kwaaanza amepeleka doc Mkuu ikitoka tugawane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. Mrs Bishanga

    Weekend story: A Woman of the people

    Kweli huu ni msitu mnene wenye viumbe wa namna mbalimbali wenye harakati tofauti
  12. Mrs Bishanga

    Weekend story: A Woman of the people

    Haya mambo yakiendelea mimi nilikuwa jf hii hii au nilikuwa wapii?
  13. Mrs Bishanga

    Zijue nchi 6 ambazo hakuna usiku, jua halizami

    Finland na Norway ni kipindi flan huwa kuna kunakuwa na midnight sun lakini sio muda wote. Giza lipo vizuri tu
  14. Mrs Bishanga

    Jinsi kampuni ya Sauli Luxury Bus ilivyofanikiwa katika biashara ya usafirishaji

    Hili goma unakutana nalo kibamba lishaingia dar ila linaovertake tuu. Sasa sijui huko pori inakuwaje
  15. Mrs Bishanga

    TANZIA Grivas Mwangoka afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Juzi ilikuwa isack chalz Leo ni huyu ...hizi ajali hizi jaman
  16. Mrs Bishanga

    #COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Nilikuwa kcmc Leo hali ni tete. Nina watu nawajua wanapambania kombe wako hoiiiii pale isolation ward
  17. Mrs Bishanga

    Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

    Duh people have eaten some salt
  18. Mrs Bishanga

    Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

    Paula Ana fursa nyungi tu sema watu wanamshusha
Back
Top Bottom