Jinsi kampuni ya Sauli Luxury Bus ilivyofanikiwa katika biashara ya usafirishaji

Upo sahihi kwa kiasi, na ni kweli nilikuwa ndani kwa kesi Ila nashukuru kila kitu kilienda sawa. Kuhusu pesa, Sina pesa chafu. Ninazo za kawaida tu
sauli hiyo connection ya madini inakavaa vipi sasa mzee baba?, ulianza kuingia ndani ya mashimo kama mchimbaji wa kawaida au ulikusanya mtaji ndo ukawa mmiliki wa shimo la madini?
 
1. Usichokijua kuhusu sauli ni kuwa saul hakuanza na gari mbili alianza na gari 3, benzi moja na scninia mbili..

2. Huyo jamaa an hela chafu anaweza shusha hata gari 10 izo Scania isipokuwa anakwepa kukutana na kesi ya utakatishaji. Kwa gari izo izo tatu alizonunua alipewa kesi ya utakatishaji fedha, kakaa ndani zaid ya miezi 8 mpka rais alivyosema watakatishaji fedha watoke kwa kulipa fidia ndo alitoka.
Marehemu alikua nuksi sana


Ila gemilang linavutia mno
 
Hizo gari zinatembea sio mchezo, na ni luxury kweli na comfortable. Hizo Scania sio mchezo.

Nimepata nafasi ya kusafiri nayo moja weekend, nahisi ndio tulikuwa basi la kwanza toka Mbeya kufika Dar
Kwa hivyo sifa namba moja ya mabasi ni mwendo kasi?
 
Hili goma unakutana nalo kibamba lishaingia dar ila linaovertake tuu. Sasa sijui huko pori inakuwaje
 
Ingawa umemuita mzee, nasikia mmiliki wa Sauli basi ni kijana tu below 40 yrs. Chuma zake zinakimbia sana, kwa kujali muda na umakini wa madereva wake pamoja na kuwa na magari imara, kweli apongezwe sana. Alisemwa sana kuwa atachemka vile ana mabasi mawili tu lakini amekaza na anazidi kutanuka
Hujawahi kupanda gari zinazokimbia, enzi hizo Mnazi Mmoja mnatoka saa 11 asubuhi saa tisa mko Mbeya, yaani kawaida sana
 
Hujawahi kupanda gari zinazokimbia, enzi hizo Mnazi Mmoja mnatoka saa 11 asubuhi saa tisa mko Mbeya, yaani kawaida sana
Iringa nakumbuka kulikuwa na basi za Marehemu Mwakatundu zinaitwa Computer, ni DCM. Gari inatoka Iringa saa 11 asubuhi kwenda Dar na kurudi siku hiyohiyo. Dar inafika saa 5 asubuhi na saa 7 mchana inageuka saa 1 kasoro iko Iringa
 
Back
Top Bottom