Search results

  1. kwemsangazi

    Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Pole sana kiongozi. Wenyewe kwenye hii thread wanapita tu kama hawaoni vile. Wanaume tunapitia mengi Mungu atunusuru
  2. kwemsangazi

    Nawezaje jifunza kifaransa kwa haraka?

    Wacheki hawa Alliance Francaise 0222131406 kama upo Dar es Salaam. Wapo nyuma ya Las Vegas Casino, Upanga.
  3. kwemsangazi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibu... Ukiona inafaa twende nayo. Ni 1xbet
  4. kwemsangazi

    Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asante kwa kututia moyo... Haya mambo haya ndio maana wanaume wengi wanawahi kufa.
  5. kwemsangazi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inabidi uwe na roho ngumu sana kwenda sambamba naye.... tips zake za hatari hatari
  6. kwemsangazi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani hawaachi kitu ukiweka 1000 linaenda, 100,000 inaenda..... [emoji3][emoji3]
  7. kwemsangazi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duu man kweli umepunwa.... Ila one day yes tu itarudi. Usichoke
  8. kwemsangazi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na hasara zake pia.... Maana kuna kipindi alipokea vipigo mpaka ikawa kero
  9. kwemsangazi

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii ilikuwa hela ila imenipita
  10. kwemsangazi

    Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

    Nilitaka kumuuliza hili pia asante kwa kunitangulia
  11. kwemsangazi

    TTCL 4G: SPIDI HII NI KWANGU TU AU.

    Nafikiri wana shida upande wa 4g jaribu kuswitch 3g mtandao upo vizuri mimi natumia hiyo tangu jana
  12. kwemsangazi

    Msaada: Maumivu ya mfupa Wa kifua (sternum)

    Asante kwa maelezo yako mkuu... Nami umenisaidia mahali, namimi hii shida imenisumbua nikaenda hospital wakanipa vidonge vya maumivu.
  13. kwemsangazi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Usiku wa manane Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. kwemsangazi

    Ukweli mchungu: Sababu kwanini walokole hawawezi kuwashinda wachawi

    Inategemea Biblia unaisomaje, je unaisoma kama gazeti la udaku ama vipi? Ukiisoma Biblia kwa jinsi hiyo kamwe huwezi mshinda yule muovu. Rejea: Mathayo 4:6-7, majibizano kati ya shetani na Yesu kuhusu maandiko Matakatifu.
  15. kwemsangazi

    Ujinga wa wanaume Kwa wanawake huu hapa!

    Mwanamke ni zaidi ya ufaudu unaoutaka wewe!!! Ila umpate anayejielewa
  16. kwemsangazi

    Ujinga wa wanaume Kwa wanawake huu hapa!

    Hahahaha kavulata aka kaharufu kabeberu...!!! Mzee wanawake ni wasaidizi kwetu, usifikirie game tu angalia shughuli ya kule leba utajua. Pia sampuli wanazokutana nazo hawa watu dah kiukweli Mungu amewapa uvumilivu wa hali ya juu
  17. kwemsangazi

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nawengine sema hukutuunga pia!!
Back
Top Bottom