Search results

  1. ifweero

    posho za wabunge ni jipu baya kuliko yote

    Hili jipu limekaa sehemu mbaya. Baya na halifai kupuuzwa. Litaondoka na roho za wengi. Rais tunakuomba ulitumbue. Tuhurumie tutesekao huku vijijini namtumbo.shinyanga. rukwa nk
  2. ifweero

    Upinzani wanasubiri mgombea urais "reject" kutoka CCM

    Kwa sasa wapo kimya kama hawapo tanzania na kama hawaoni wala kusikia kinachoendelea. Wanasubiri mchakato wa kupata mgombea ndani ya CCM uishe ili watakaoangukia pua huko ccm wao wawachukue.. Rejea akina mpendazoe kwenye ubunge, shibuda na Arcado Ntagazwa ambao leo ni mizigo katika taifa...
  3. ifweero

    Serikali ya CCM 2015-2020 ishughulikie haya

    Kwa kuwa serikali ya awamu ya nne inaenda kumaliza muda wake na kwa kuwa serikali ya awamu ya tano itaundwa na ccm basi mambo yafuatayo yawe ni kipaumbele. 1.tatizo la ajira hasa kwa vijana nchini 2.ipanue zaidii demokrasia 3.vijana wapewe zaidi nafasi, kina makamba nape na mwigulu wengi...
  4. ifweero

    CHADEMA wakata tamaa Urais, sasa kujiimarisha kwenye ubunge

    Imefahamika kuwa viongozi wa chadema taifa wamekata tamaa kushinda nafasi ya urais wa nchi hapo octoba badala yake hivi sasa wameamua kujikita kwenye majimbo ili kupata wabunge wa kutosha waweze kupata spika wa bunge na pengine waziri mkuu. Naunga mkono uamuzi makini wa chama kuachana na urais...
  5. ifweero

    Miezi 8 kuelekea uchaguzi mkuu: CCM ina nafasi kubwa ya ushindi wa Urais

    Waliopo upinzani ni wale wale failures, yaani waliowahi kushindwa na ambao hawana tumaini jipya kwa watanzania. nafasi kubwa ya kuukwaa ushindi wa rais na wabunge ni ya ccm. Wengi wanaotajwa tajwa kutaka kugombea kupita ccm ni wapya kabisa. Nawashauri akina mbatia, slaa na lipumba wasipoteze...
  6. ifweero

    Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

    Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi. UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a...
  7. ifweero

    UKAWA umeua CUF na NCCR, unanufaisha CHADEMA

    Kwa sasa jina linalovuma ni ukawa na chadema. Hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika hvi karibuni, chama cha upinzania kikichosikika kidogo ni machadema. cuf na nccr wamekosea kuchanga karata zao.. Wamelamba joka. Chadema inachekelea. Hata kwenye maeneo ambayo cuf na nccr...
  8. ifweero

    Nyalandu atangaza nia urais 2015

    Akihutubia mkutano wa hadhara mji mdogo wa ilongero singida vijijini mbunge wa singida kaskazini na waziri wa mali Asili na utalii lazaro nyalandu ametangaza rasmi kuwa atagombea urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mwaka 2015. hata hivyo katika hali ya kushangaza kumetokea vurugu katika...
  9. ifweero

    CHADEMA itapata mitaa kiduchu sana, CCM kuwaburuza wapinzani

    Aina ya upinzani wa chadema haina tija wala umuhimu kwa wananchi hali inayopelekea chama hicho kufifia na kukosa mvuto kwa jamii. Tathmini iliyofanyika mikoa ya pwani, kusini na kati pamoja na kanda ya ziwa imeleta uhakika wa kichwa cha habari hii kuwa sasa chadema imebaki wasindikizaji tu...
  10. ifweero

    Upinzani Tanzania umepoteza ladha, umekufa

    Ni ukweli mchungu ulio wazi kwamba kadri siku zinavyosonga, upinzani wa Tanzania unazidi kufifia. Unakosa mvuto na hatimaye utakufa kabisa..hivi vyama vitabaki wasindikizaji tu. Political calculation wanazofanya zinabuma kabla ya kufikia malengo. Wanapokosea kidogo tu, CCM inaziba gape na...
  11. ifweero

    Afande Sele: Msanii mwenye mvuto kwa jamii kisiasa

    Hivi sasa ni mwenyekiti wa chadema kata moja huko morogoro mjini, Atagombea ubunge jimbo la morogoro mjini. Pamoja vituko alivyonavyo ikiwa ni pamoja na kuvua nguo jukwaani lakini ameendelea kuwa na mvuto kwa jamii. Tumuunge mkono apate ubunge..naipongeza chadema kwa kujipenyeza kwa wasanii...
  12. ifweero

    Tathmini: upinzani umepoteza wakati chama tawala kimezidi kuimarika

    Katika kipindi cha hivi karibuni, vyama vya upinzani vimejikita katika siasa za matukio na za hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja. Hata katika huu mchakato wa katiba jamaa wamejipiga. Wamejirarua. The incumbent kwa maana ya chama cha mapinduzi, chenyewe kimejitahidi kunyamaza na kufanya siasa...
  13. ifweero

    Mrisho Mpoto atangaza nia kugombea ubunge Ubungo Atamng'oa Mnyika?

    Msanii Mrisho Mpoto Mrisho Mpoto asema atagombea ubunge jimbo la UBUNGO ila hakutaja chama gani. Kwa maana hiyo hakubaliani na mbunge aliyepo kwenye kampeni utakuwa ni mwendo wa mashairi tu. Mnyika kurudi Bungeni itakuwa kazi ya ZIADA kwake. Najiuliza swali kwanini kila mtu analimezea mate...
  14. ifweero

    Kikwete awarushia UKAWA tonge la ugali, wanasa

    UKAWA WAMEDHIHIRISHA HAKUNA WANACHOKIPIGANIA ZAIDI YA MADARAKA Ni mambo matatu tu yaliyowalainisha UKAWA 1.Tume huru ya Uchaguzi 2. Matokeo ya Urais kupingwa Mahakamni Mgombea Binafsi Baada ya JK kugundua nini mahitaji ya UKAWA , kazi yake ikawa rahisi sana. Hakuna cha Kodi ya wananchi...
  15. ifweero

    2015 CHADEMA kikipata wabunge 10 najiunga nacho

    Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
  16. ifweero

    Kukataliwa Zanzibar kwaitesa CHADEMA,kiongozi wake akiri ni ngumu kupata dola

    Katika hali inayoashiria kukwama na kushindwa kabisa kwa CHADEMA na kukata tamaa kwa viongozi na wanachama wake, kiongozi wa juu wa CHADEMA amekiri wazi kuwa kukataliwa kwa chama hicho Zanzibar kunakipa chama hicho wakati mgumu na kukifanya kisiingie ikulu.
  17. ifweero

    Zitto vs Dr. Slaa/Mbowe, Hamad Rashid vs Maalim Seif: Demokrasia ipo wapi?

    Dr. Slaa na Mbowe wamemshughulikia ipasavyo Zitto kuhakikisha hapumui na wanamtimua kwenye chama, sababu kubwa ni uchaguzi hasa nafasi ya uenyekiti CHADEMA. Huku CUF nako Maalim Seif amemshughulikia ipasavyo Hamad Rashid Mohamed mbunge wa Wawi sababu ikiwa ni uchaguzi wa ndani ya chama hicho...
  18. ifweero

    Kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni uteuzi, sio uchaguzi

    Yaani uchaguzi wa taifa unafanyika ndio unafuata wa wilaya ili kupata wajumbe wa taifa...what a shame... mizengwe ya ubaguzi, uchakachuaji...wasiotoka maeneo flani flani wanaonekana wakuja inapofika kwenye ishu ya nafasi za kitaifa... Huku ni kuteuana sio kuchaguana. Chadema acheni umimi..chama...
  19. ifweero

    CCM ndio chama bora Afrika Mashariki na kati

    Nchi za Afrika na vyama vyao vya siasa, zinachukua mfano wa uongozi bora,demokrasia ya kweli na utawala bora kutoka kwa ccm ya Tanzania. CCM inajali utu, usawa na haki kwa raia wake.Falsafa na misingi yake hii haijapata wa kuenenda vizuri zaidi yake. Haina mpinzani,wengi waliojaribu...
  20. ifweero

    Huyu ndio Mbarouk, Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora

    KANSA MBAROUK NA UENYEKITI WA CHADEMA TAIFA. Nimeona nami niseme kitu baada ya kaka, rafiki na mlezi wangu wa kisiasa kuchukua fomu kuomba ridhaa ya wanachadema ili awaongoze katika kipindi cha miaka mitano ijayo katika nafasi ya mwenyekiti wa chama Taifa!! Binafsi baada ya kumsikia kwa...
Back
Top Bottom