Kikwete awarushia UKAWA tonge la ugali, wanasa

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
7,957
Reaction score
1,341
UKAWA WAMEDHIHIRISHA HAKUNA WANACHOKIPIGANIA ZAIDI YA MADARAKA
Ni mambo matatu tu yaliyowalainisha UKAWA
1.Tume huru ya Uchaguzi
2. Matokeo ya Urais kupingwa Mahakamni
Mgombea Binafsi
Baada ya JK kugundua nini mahitaji ya UKAWA , kazi yake ikawa rahisi sana. Hakuna cha Kodi ya wananchi Inayopotea, hakuna cha haki ya Wakulima, wafugaji, wavuvi wala afya ya Watanzania. Walipokubaliwa tu kile wanachoamini kinaweza kuwasaidia kupata madaraka, haooooo, wakamshika mikono JK kwa tabasamu kubwa.
Bado tutaendelea kuwajifunza watu wanafiki kama UKAWA , siku hadi siku

My take; hongera mama salma kwa juice tamu ya magogoni. Umejifunzia wapi?
 
Ni bora kuwa mnafiki kuliko kuwa dhaifu maana mnafiki anatafuta nafasi ya kutumikia watu ambao dhaifu ameshindwa
 
Ama kweli hili la UKAWA na Rais limewapa watu wengi kihoro na uchizi !!!. wengi wa book 7 wamekaa kimya bado wanatibiwa, lakini huyu kakimbia wodini kabla hajapona, madhara yake ndo haya sasa. Alichoandika kama atalipwa basi ni kwa ajili ya kumfariji. Pole sana mkuu hayo ndo maisha na maumivu huanza polepole na kujifaji ni muhimu hata kama unajua ugonjwa ulio nao hauna tiba !!
 
Katiba ipo kwenye ilani ya Chadema 2010 lakini kwakuwa siyo chadema wanaongoza nchi hii na kwakuwa ccm waliodandia ilani ya chadema, ni vizuri kuachana nao. Hii ni credt kwa chadema kwani hoja ya kuwa ccm haiwezi kuwapa wananchi katiba imeshinda na huu ndio ukweli dhairi. Hivyo ni jukumu la wananchi kuipa chadema furusa 2015 ili ifumuwe mchakato mzima na kutia muhuri katiba ya warioba maana ndio ya wananchi.
 
Ninamashaka sana na ufahamu wako wewe.

Kama unashindwa kuelewa maana ya kuahirishwa kwa mchakato wa katiba, sidani kama unajua lolote kuhusu mipango kwa kufuata umuhimu na uharaka. Sorry siwezi kukusaidia. Kaulize kwa ma boss wako labda mnaweza kuongea lugha moja mkaelewana.

Ama ulitaka Kikwete na Ukawa waandike katiba hiyo juzi? Unaelewa mantki ya kuahirishwa kwa machakato wa katiba? Mbona kichwa kigumu sana wewe? Ndiyo sababu unatumikishwa kwa buku 7.

UKAWA WAMEDHIHIRISHA HAKUNA WANACHOKIPIGANIA ZAIDI YA
Ni mambo matatu tu yaliyowalainisha UKAWA
1.Tume huru ya Uchaguzi
2. Matokeo ya Urais kupingwa Mahakamni
Mgombea Binafsi
Baada ya JK kugundua nini mahitaji ya UKAWA , kazi yake ikawa rahisi sana. Hakuna cha Kodi ha wananchi Inapotea, hakuna cha haki ya Wakulima, wafugaji, wavuvi wala afya ya Watanzania. Walipokubaliwa tu kile wanachoamini kinaweza kuwasaidia kupata madaraka, haooooo, wakamshika mikono JK kwa tabasamu kubwa.
Bado tutaendelea kuwajifunza watu wanafiki kama UKAWA , siku hadi siku
 
Ni bora kuwa mnafiki kuliko kuwa dhaifu maana mnafiki anatafuta nafasi ya kutumikia watu ambao dhaifu ameshindwa

mtajikanyaga sana mwaka huu; Maccm bhana ovyoo.

Ama kweli hili la UKAWA na Rais limewapa watu wengi kihoro na uchizi !!!. wengi wa book 7 wamekaa kimya bado wanatibiwa, lakini huyu kakimbia wodini kabla hajapona, madhara yake ndo haya sasa. Alichoandika kama atalipwa basi ni kwa ajili ya kumfariji. Pole sana mkuu hayo ndo maisha na maumivu huanza polepole na kujifaji ni muhimu hata kama unajua ugonjwa ulio nao hauna tiba !!

Katiba ipo kwenye ilani ya Chadema 2010 lakini kwakuwa siyo chadema wanaongoza nchi hii na kwakuwa ccm waliodandia ilani ya chadema, ni vizuri kuachana nao. Hii ni credt kwa chadema kwani hoja ya kuwa ccm haiwezi kuwapa wananchi katiba imeshinda na huu ndio ukweli dhairi. Hivyo ni jukumu la wananchi kuipa chadema furusa 2015 ili ifumuwe mchakato mzima na kutia muhuri katiba ya warioba maana ndio ya wananchi.
Homgereni kwa ujasiri wa ku comment, mmejikaza kisabuni huku mnapukutika
 
Wewe lako ni moja tu sasa, utafukuzwa kama makada wa chama tawala walivyofukuzwa Temeke na Mwenyekti wa chama chenu!
 
Mkuu acha upotoshaji, kufanya marekebisho hakuhusu maeneo hayo tu, kwani wadau wamepewa muda wa kupeleka mapendekezo serikalini. Kinachoendelea dodoma ni uhalifu.
 
Ninamashaka sana na ufahamu wako wewe.

Kama unashindwa kuelewa maana ya kuahirishwa kwa mchakato wa katiba, sidani kama unajua lolote kuhusu mipango kwa kufuata umuhimu na uharaka. Sorry siwezi kukusaidia. Kaulize kwa ma boss wako labda mnaweza kuongea lugha moja mkaelewana.

Ama ulitaka Kikwete na Ukawa waandike katiba hiyo juzi? Unaelewa mantki ya kuahirishwa kwa machakato wa katiba? Mbona kichwa kigumu sana wewe? Ndiyo sababu unatumikishwa kwa buku 7.
jikite katika hoja achana na character assasination
 
Njia ya mlafi fupi tu, tusubiri tuone watakavyokuja kutulaghali tena.
 
poleni ukawa najua inawauma sama basi mmekosa pesa za kuhongea wanannchi 2015 na mtawajua magamba maana mifuko imejaa mapesa ya sitta
 
Mkuu acha upotoshaji, kufanya marekebisho hakuhusu maeneo hayo tu, kwani wadau wamepewa muda wa kupeleka mapendekezo serikalini. Kinachoendelea dodoma ni uhalifu.
Wajumbe gani hao unowaongelea? Waulize UKAWA kwa nini wanakubali uhalifu huo uendelee wakati ndicho kilikuwa kilio chao kuwa bunge lisitishwe? JK kawaweza , alichokuwa anataka JK ni kuachana salama na hao Maliberary na amewapata kirahisi sana
 
What character assassination you are talking about? No personality attack, no defamation rather than uhalisia wa alichokiandika. Sina hakika kama unaelewa vizuri what character assassination is!.

jikite katika hoja achana na character assasination
 
Kwani Kilimo, Uvuvi au Afya ni mambo ya Muungano hata UKAWA wapiganie kwenye mkutano na Kikwete?. Mwandishi umesukumwa na jazba hujui hata nini unaandika kwa ukereketwa mbovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom