Search results

  1. A

    She is here now, I need her back

    Sisi watu wazima wenye experience ya haya makitu tunakushauri kijanaACHANA NA HUYU MWANAMKE. atakuumiza sana ukiendelea kukomaa nae, kwanza unajidhalilisha ujue kuendelea kujionyesha how much umeoza kwake na umekwama......mapenzi yapo tuu, ila kama mwanaume unatakiwa upende nawe pia...
  2. A

    Mliooa wadada wasomi wenye mishahara yao tupeni uzoefu

    ndugu, we huna mama wala shangazi?? pole sana kwako na kizazi chako maana mko mbali sana
  3. A

    Huyu nae ni wa aina gani?

    kwani umekuja lini kwenye hii fani weye mwenzetu????
  4. A

    Nawapongeza CHADEMA kwa kuchukua maamuzi magumu ya kujikata mguu!

    kumbe uliondoka!! nilidhani uliondolewa/ulikatwa
  5. A

    siku hizi hasalimii

    E baba uwabariki hawa wote wanaojibizana humu na uwasamehe kabisa amina
  6. A

    gari la mpenzi wa msanii White Berry ambalo lilichomwa na white berry kisa wivu wa kimapenzi

    Mkuu, hapo kwenye re ni utata kumbe sku hizi wanaitwa black berry na white berry!!!! Zamani na kawaida huwa wanitwa BERRY BLACK na BERRY WHITE
  7. A

    Japo Dunia ya Wanaume,Mwanamke Kushindwa Maisha Ni Kujitakia Na Uzembe Binafsi!!!!!!!!!!!!!!

    Women aint smart! THAT IS A FACT!!!!!!!!!!!! Very very few, 2 out of 100 MAYBE smart! But on average women are dull. That has been the statistics centuries and centuries of men reign! Hata ukitizama ulioanza nao shule wangapi wanawake wamefika kokote? Like really kushika nafasi za kumake...
  8. A

    JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

    yes wa qwetu mwanza naenjoy maisha yasiyo na joto
  9. A

    JF Mwanza Wing mpo? Arusha Wing tunakuja kuwashikaaa...

    karibuni sana MWANZA nimeitika, nitakuwepo iyo tarehe.
  10. A

    Dah! hawa COET-UDSM, wamezidi sasa

    someni shule punguzeni starehe na mibangi vijana wa leo unakuta akipata boom anahamia kwa pombe na ngono boom likikata ndo anaanza kusoma huku hana hata uhakika wa lunch!! ukidisco ulalamike!! PURITENDAAAAAAA WAKUBWA(I MASANJA'S VOICE)
  11. A

    Nasaidiwa kutoa mahali wakati mimi ndio naoa

    umjue zaidi wakati ushammimba!!! acha utoto, toa mahari uoe hayo ni matokeo ya zinaa, usikimbie, kumbatia kama ulivyofanya mpaka ukamtia mimba halafu huyo mdada ana hasara kweli.....hujielewi
  12. A

    My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    maana ya kuwa na mume ni nini!!! anakuchezea akili huyo
  13. A

    Nimechoka kubeba zege, nataka nirudi shule

    uamuzi mzuri elimu haina mwisho kila la kheri ndugu
  14. A

    Subaru forester, naipenda sana, nipeni moyo niinunue tafadhali.

    Naipenda sana hii gari, muonekano wake tuu. sina uzoefu na magari maana ndo hii ya kwanza nataka ninunue mazingira yangu ni barabara vumbi na mashimo ya hapa na pale naombeni mnipe uzuri wake ubaya/matatizo yake pia ntafurahi kuyapata. ila kiukweli naipenda kutoka moyoni. na je, ninunue...
  15. A

    Utafiti: Women With Big Butts Are Smarter And Healthier

    nakubaliana na utafiti huu hata mm huwa siumwi umwi eti...mafua mara moja kwa mika mitano hadi sita.
  16. A

    Nina 10m nahitaji gari Harrier au Xtrail.Niko mwanza

    haya we, ukiipata naomba lift mpaka pale samaki samaki
  17. A

    Ule Usemi Wa Mwanaume Anza Nae Maisha Kungojea Bingo Utazeeka Wamtokea Puani Mdau!!!!!!

    i missed u big time@LALA 1 nakuunga mkono ukiolewa na kapuku siku akizikamata anatafuta wa kutumia nae, eti wewe umezeeka, huna mvuto wa kutoka nae out!!!
  18. A

    Ule Usemi Wa Mwanaume Anza Nae Maisha Kungojea Bingo Utazeeka Wamtokea Puani Mdau!!!!!!

    i missed u big time@LALA 1 nakuunga mkono ukiolewa na kapuku siku akizikamata anatafuta wa kutumia nae, eti wewe umezeeka, huna mvuto wa kutoka nae out!!!
  19. A

    Nitamwachaje Huyu binti?

    acha umalaya we mwanaume watu hawatesti mapenzi wanatesti magari eboo
  20. A

    DAWA YA MWANAUME au MWANAMKE MSALITI

    pole sana hapo umemlazimisha kuacha tabia yake kwa muda tuu ila baadae usije humu unalialia ni hayo tuu
Back
Top Bottom