Habari kutoka katika chanzo cha UHAKIKA zinadokeza kuwa yule kigogo maarufu katika kesi ya EPA yupo katika COMA kwenye hospitali maarufu jijini mwenye habari zaidi uwanja ni wako!
Nilimpenda sana Aminata enzi za unyange wake,alikuwa mzuri sana,Aminata Keita mnyange wetu alinimwaga na kukimbilia mabesela ya hatari tena mbalimbali Aminata.
Aliyewahi kuwa Mnyange maarufu wa enzi hizo,Bi.Aminata Keita hivi sasa ninapoleta habari hizi anajifanyia chicken\Kitchen party yake mwenyewe maeneo ya K,nyama Mabatini,baadhi ya marafiki zake wamedai baada ya mnyange huyo kupiga "Besela"za mara kwa mara kwa kutapeleliwa na wanaume wa mujini...
Maharusi, wazazi wazama bwawani wakikata keki
na Betty Kangonga
MAHARUSI pamoja na wapambe wao usiku wa kuamkia mwaka mpya, walijikuta wakizama katika bwawa la kuogelea jijini Dar es Salaam katika harusi iliyohudhuriwa na baadhi ya vigogo.
Vyanzo vya habari vimelipasha Tanzania Daima...
Nashukuru kwa yote mazuri mliyoyataja hapo juu sisi bado tupo Kazini, Wewe uliyeleta Mundiko huu eti Mara ooooh tumefulia,waaapi?Bado tupo sana sana,nyie mlie tu Hits haifi na haitakaa ife nyooo. Waoneni.
Hayawi hayawi sasa yametimia baada ya kiongozi wa mauzo Fred Liundi mzalendo pekee aliyebakia na aliyetazamwa na wazalendo wengi kama tumaini la waliobakia kubwaga manyanga katika kampuni ya simu za mkononi HiTS kwa sasa wafanyakazi wa kampuni hiyo ambao hawajapata mshahara wa mwezi wa sita...
Very sad indeed! Mmoja wa mtoto wa familia hiyo,ambaye hakuwepo kwenye tukio anafanya kazi Zain Customer care operation na anaitwa Aneth. Pole sana Aneth Mungu akupe nguvu ya kuweza kukabiliana na msiba huu mzito.
Dilunga umenkuna! Yaani watu oooh, hujafa hujaumbika,ooooh tema mate chini,oooooh una-beef! Kuweni makini sana na kutundika mapicha yenu mimi nimesikitika sana lakini bila P's asingefikia alipo. HILO NALO NENO.
Kama alivyosema Mt.Dilunga kama unapenda Privacy usikubali ukatundikwa katika Blog yoyote duniani,samahani kama nimewakosea,ila Source ya yote yaliyotokea ni P's.
Ni kweli kuwa lazima ununue HANDSET kwani Line zao (CHIP) huwezi kuweka katika simu za GSM nikimaanisha lazima HANDSET iwe ya CDMA shughuli ndio inaanzia hapo,ila kuna simu zao zina Line 2 yaani GSM na CDMA Duuuh kazi kweli kweli.
Yule Nguli wa miziki yenye mahadhi ya Pwani yaani Taarab amefariki dunia,Jijini Dar. Hii ni kwa mujibu wa mtangazaji wa Leo tena wa Clouds FM Dina Marios.
Nasma Hamisi 'Kidogo' amefariki dunia juzi usiku katika hospitali ya Temeke jijini Dar.
Kwa habari za uhakika zilizopatikana kutoka kwa...
Huyo Kennedy Otieno simjui ila wimbo huo sio wa Akudo bali ni Single ya Patcho Mwamba pamoja na Tarsis Masela,WOS Kuna jamaa anaitwa Zagreb Butamu sura ya mvuto sauti ya biashara! Duh nampenda sana huyo jamaa anajua kuimba sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.