Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Oloronyo, Jun 22, 2009.

 1. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #1
  Jun 22, 2009
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yule Nguli wa miziki yenye mahadhi ya Pwani yaani Taarab amefariki dunia,Jijini Dar. Hii ni kwa mujibu wa mtangazaji wa Leo tena wa Clouds FM Dina Marios.  [​IMG]

  Nasma Hamisi 'Kidogo' amefariki dunia juzi usiku katika hospitali ya Temeke jijini Dar.

  Kwa habari za uhakika zilizopatikana kutoka kwa ndugu wa karibu wa marehu zinaeleza kuwa Nasma alilazwa katika hospitali ya Temeke ijumaa mchana akisumbuliwa na malaria pamoja na presha ya kushuka,ugonjwa huo ulikuwa ukimsumbua kwa takriban miaka miwili.

  Msiba upo kwa baba yake mdogo,Mzee Kaniki.Kinondoni maeneo ya ya hananasifu karibu na shule ya TAPA,Mazishi yanatarajiwa kufanyika leo saa saba mchana kwenye makaburi ya kisutu jijini dar.

  Baadhi ya nyimbo alizotamba nazo msanii huyo ni Mwanamke mazingira,Subira Heri,Mpenzi na sanamu la michelin,pia enzi za uhai wake aliimbia vikundi kadhaa kikiwemo Egyptian,Babloom,Tanzania One Theatre na Muungano Cultural Troup.

  Nasma ameacha watoto sita, wanne wa kike na wawili wa kiume.

  Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-AMIN
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,729
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Poleni sana wanandugu na wapenzi wote wa muziki wa taarabu. Tumeondokewa na gwiji kwa hakika. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Amen.
   
 3. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  R.I.P Bi Nasma Kidogo
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,589
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mungu awape nguvu familia na ndugu wa mwana-sanaa nguli wa taarab.
   
 5. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 10,424
  Likes Received: 2,988
  Trophy Points: 280
  rip nasma kidogo
   
 6. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,320
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  RIP Nasma Hamis Kidogo! Kipi kilichomuua jamani ama aliugua kwa muda mrefu?
   
 8. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi amina.Oloronyo, chanzo cha kifo chake kimesababishwa na nini?
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Dah Poleni wafiwa poleni mashabiki.
  Watazika kesho makabuli ya Kiondoni saa kumi.
  Msiba upo karibu na shule ya Juhudi Kinondoni.
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,982
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Marehemu aliugua kidogo.
  Poleni wote ndugu hata mashabiki wa rusha roho.
   
 11. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kabla hatujatoa pole na kuonyesha hisia zetu,..JE habari hizi zimethibitishwa?
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,384
  Likes Received: 1,362
  Trophy Points: 280
  Alale pema peponi! Amen
   
 13. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,097
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  R.I.P Nasma Kidogo!

  Tutakukumbuka kweli kwa jinsi ulivyoichachafya TOT ya CCM kipindi kile ...cha sanam la Michellin...na jinsi walivyotumia nguvu kubwa kukuzima na kundi lako la Muungano.
   
 14. a

  aanntumaini New Member

  #14
  Jun 22, 2009
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
  Amen
   
 15. L

  Limbukeni Senior Member

  #15
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila mtu atakufa kilichompa uhai ndio lkilichomuua
   
 16. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 878
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Daah! Inauma sana, kapumzike mahali pema peponi dada Nasma. Utakumbukwa kwa mengi hasa ule wimbo wa ' Wadudu wadogo wananyambua nyambua'
   
 17. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Poleni sana wafiwa,hasa mashabiki wa kuitupa roho.
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Dah! RIP NASMA we will miss you!
   
 19. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,620
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  RIP Bi Nasma Kidogo ulileta changamoto sana kwa Bi.Khadija Kopa kipindi kile cha miaka ya mwisho ya 90... Muungano Cultural Troupe.
   
 20. a

  agika JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yeye ametangulia nasi tutafata, Mwenyezimungu amlaze pema peponi....
   
Loading...