Search results

  1. M

    Zain(celtel) yapunguza wafanyakazi 141

    Wakuu naomba kuuliza, Hizi Zain Tanzania ina ma-marketing manager wangapi?..mimi nawafahamu wanne au ni mabadiliko yanatokea na wengine kuhamishwa vitengo...au na hii ni mojawapo ya sababu ya hiyo programu kata vichwa?..
  2. M

    Vivek Kundra: Obama's first federal IT chief pick mwana wa Tanzania

    Mkuu Cpt Hadock... Halisi atakuwa hafahamu hii.....kwi..kwi...kwi..watanzania bwana.. Halisi Halisi is ??????? JF Premium Member Join Date: Tue Jan 2007 Posts: 1,733 Thanks: 1,686 Thanked 2,227 Times in 674 Posts Rep Power: 26 Credits: 165,117 Cpt Hadock Cpt Hadock has no status...
  3. M

    Vivek Kundra: Obama's first federal IT chief pick mwana wa Tanzania

    Kijana wenu wakitanzania VIVEK KUNDRA...... Mitanzania haibadiliki.....bado pua zao ndefu vilevile.
  4. M

    Vivek Kundra: Obama's first federal IT chief pick mwana wa Tanzania

    Watanzania bwana!.... Ponjoro kazaliwa zake NEW DEHLI kapita upanga dar on his way to US, leo mnamwita kijana wa kitanzania, watanzania acheni tabia ya kujikomba. Watanzania nani kawaroga?
  5. M

    Spread the Word

    Umeme wenyewe mbona Tz hakuna, unaongelea one hour, tz mgao ulitangazwa kuwa masaa manne then masaa manne mengine, jumla masaa 8 kwa siku, lakini leo wamekata umeme kuanzia asubuhi saa nne na hata sasa saa kumi na mbili jioni umeme haujarudi, vipi kule nanjilinji kwenye vibatari wazime...
  6. M

    Malecela avunja ukimya!

    Kale kalikizo kameisha ghafla,uzuri wako huwa unaaga lakini huwa unarudi kimya kimya... hii ndiyo JF utaandika tuu...karibu jukwaa la SIASA wazee wa sauti za ........tuendelee kumkoma nyani hata kimya kimya. Idume JF.
  7. M

    Mauaji ya kutisha Mbeya

    Kuna habari kwanba mkoani Mbeya hivi sasa kuna mauaji yakutisha, mauaji hayo yanasadikika kuwa ni ya imani zakishirikina, wafanya biashara wa mabucha ya nyama ndiyo washirika wakuu, inasemekana kuwa nyakati za usiku huwavizia watu nakuwaua na vifaa wanavyo tumia mabuchani na baada ya hapo...
  8. M

    scholarship

    Hujui.....kaa kimya acha wenye michango wachangie......Ngorude...wa kike au wa kikeni
  9. M

    scholarship

    kwani wewe wakiukeni au wa kike...changia mada acha vigeregere..
  10. M

    scholarship

    changia mada kama huna cha kuchangia kaa kimya...
  11. M

    scholarship

    Ustaarabu kitu cha bure ndugu yangu, kama hii thread inakutatiza nenda kwenye thread nyingine AU anzisha thread yako yenye mada unazotaka. Hayo mambo yako hayasaidii chochote. Hii mada itasaidia watu wengi humu ndani. Ni hayo tuu.
  12. M

    scholarship

    Asante Konzogwe... Itabidi niiangalie kwanza kabla sijawapa $$$
  13. M

    scholarship

    Himawari asante sana.
  14. M

    scholarship

    Nawashukuru The farmer na Belinda asanteni sana.
  15. M

    scholarship

    Sasa wewe na yeye mnauhusiano gani?.. Jadili mada
  16. M

    scholarship

    Mwisho wa mwaka huu.
  17. M

    scholarship

    Hiyo inakuhusu nini sasa.
  18. M

    scholarship

    Jadili mada
  19. M

    scholarship

    Kwa nini?
Back
Top Bottom