Mauaji ya kutisha Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya kutisha Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MUME WANGU, Mar 28, 2009.

 1. M

  MUME WANGU Member

  #1
  Mar 28, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna habari kwanba mkoani Mbeya hivi sasa kuna mauaji yakutisha, mauaji hayo yanasadikika kuwa ni ya imani zakishirikina, wafanya biashara wa mabucha ya nyama ndiyo washirika wakuu, inasemekana kuwa nyakati za usiku huwavizia watu nakuwaua na vifaa wanavyo tumia mabuchani na baada ya hapo huvipeleka vifaa hivyo kwa waganga wa wakieji ili mauzo yao yaongezeke, vifaa wanavyotumia kuulia watu mara nyingi ni zile hook zenye sharp end zakutundikia nyama mabuchani...mwenye taarifa zaidi atujuze
   
 2. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Oh my God, when shall these people break out of the vicious cycle?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Siamini asilani hii habari... Haiwezekani kuuza kilo 5 extra kutoe roho za watu, na je watalazimika kuua kila mara ili kuboresha biashara?

  Haiwezekani nakataa sasa inakuwa too much
   
 4. R

  REVETA New Member

  #4
  Mar 28, 2009
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its amazing, if the government and concerned person did not take any measure to alleviate the problem.

  Thank you

  my opinion
   
 5. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Bongo tunaelekea wapi sasa. Tumekuwa washirikina kama ndugu zetu wa West Africa?
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu we are all responsible and concerned people, sio serikali au ndugu pekee

  turudi kwenye ile culture ya mtoto ni wa jamii nzima na sio familia
   
 7. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Yani inasikitisha sana. Lakini hivi ni kwa nini mambo ya imani za kichawi yapo zaidi Mbeya na Kanda ya ziwa?
   
 8. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,081
  Likes Received: 1,728
  Trophy Points: 280
  Hi!
  We should expect more of these acts to happen so long as we remain a country of people without ideology, which informs universal culture and the national mainstream policy on which the state anchors the rest of policies. In this doomed country in which almost everyone loves to act and do at the expense of seeking underlying knowledge and skills (thinking), and in a country in which the presidents address to the nation emphasizes functions and procedures instead of political direction (defending the nation's destiny), we are all victims of such ineffective state. What do we expect to be the reaction of those failed to snatch 'mabilioni ya JK'? It is all about the effect of state failure to get a clear bearing of our nation. In short it is all about the effect of national vision vacuum. I mean you should forget about the poor vision 2025.
  Mpooo?
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii ni sehemu ya upigaji niondo au ni kitun kingine kipya. Mbeya kunani jamani? Mbona watu wake wanaonekana wapole sana!
   
 10. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  MN,

  Kwi kwi kwiii!!! Wapole ndio wanaweza kuwa wabaya mno. I hope hii habari sio kweli, vinginevyo ujinga utatumaliza
   
 11. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Hii mikoa ina shughuli nyingi za biashara na wafanyabiashara wengi hawajasoma, ni rahisi sana kuamini story za kusadikika, wakiona mwenzao biashara imemchanganyia wanajua 'kaloga' tu!
  Juzi kuna jamaa mmoja wa Mbeya nilikutana naye akaniambia kuna 'deal' nyingine ya kishirikina imepamba moto sana huko maeneo ya Tunduma, inajulikana kama 'hela za mkataba', unakuwa tajiri sana kwa kipindi kifupi then you die! Hii imekuwa very popular kwa wenye virusi vya Ukimwi. Huo uchawi wanadai unapatika na Zambia.
   
 12. s

  sksksk Member

  #12
  Mar 28, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli uko wapi? Tuthibitishie kaka.
   
 13. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Yote hii inasababishwa na Serikali ya Sultani CCM kutojali raia zake ,mipaka ipo wazi kuingia na kutoka Tz hakuna tatizo,ulinzi wa mipakani umekuwa wa kubahatisha,mipaka inavukwa kwa baiskeli au hata kwa miguu ,wakiuana Burundi wanasema wanunuzi wanatoka Tanzania ,Zambia yaani kila jambo sasa linatupiwa Tanzania ,hebu imarisheni ulinzi wa mipakani na anaetafuta kifo ajaribu kuvuka mpaka kiholela ,halafu tuone.
  Hata hivyo kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe pale maeneo ya Tarime ni mapigano ya siku nyingi tu ,nani ameyajali ndio juzi nasikia wameongezza vikosi kuchunguza nani anaechochea ,waChadema kaeni macho mnaweza mkarushiwa mpira.
   
 14. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2009
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sithibitishi kama kweli, lakini hata mie nimeshawai kuambiwa hii na mtu anayesoma mbeya, mpaka chuoni kwao walikatazwa kutoka kiza kikishaanza kuingia, lisemwalo lipo.
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mtanzania,

  Harusi ya brother, walikuja wapiga matarumbeta. Kuna Mzee mmoja alikuwa akiimba kwa hisia sana nyimbo za dini (tarumbeta). Nikambwambia jamaa yangu pembeni kuwa Mzee mtu wa dini kwelikweli.

  Wee ulivyoanza wimbo wa Taarabu wa CHONGE...... Mhhhh Nikahuzunika...
   
 16. Iwindi_Mbalizi

  Iwindi_Mbalizi Member

  #16
  Mar 28, 2009
  Joined: Dec 1, 2008
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mh msinitishe jamani,Mimi huko ndo home na mwezi uliopita nilikuwa huko kuwaona kijijini kwangu.Hizi habari za kuhusu Mbeya huwa nashindwa kuelewa maana kila siku nasikia magazetini na redioni but mimi nikiwa kule wala hata harufu yake haipo na nipo confortable than anywhere in this world.

  Anyway najua lisemwalo lipo na hivyo haya mambo yote yapo,so any concerned authority should take action.Pia watu binafsi walio maeneo ya matukio wafikishe correct information police au mahali popote panapoweza wajibika.

  Pia nafikiri watu waende shule ili waachane na biashara za kiimani,wajue watu wa dunia ya leo wanatumia shule ile kuhimili ushindani kibashara.Hata kama wao wamechelewa shule basi wawapeleke wanao ili waje kuinusuru biashara yao.

  Najua tatizo la wafanyabishara wengi wa pale nyumbani (mfano Mbalizi) hawakwenda shule so hii yaweza kuwa ni sababu mojawapo kubwa ya kuingiza imani kama hizo...

  Kama Mbeya vijijini tumepoteza wabunge wa kutosha mpaka nayo inahusianishwa na hizi Imani za kishirikina,,,,,,inasikitisha!

  But hizi habari zisiwatishe watanzania wenzangu, bado mnakaribishwa Mbeya maana maisha ni mazuri pale...
   
 17. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Watu wengi mbeya wanampenda mungu ndiyo maana na shetani naye yuko buzy sana huko kuliko sehemuambazo anajua ameshaziteka
   
 18. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2009
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Yes. Hii ya muda kidogo. Ila tatizo Police walikuwa wanajifanya hawataki kuamini. Tokea enz zile nondo zilipotangazwa kuwa ni silaha kubwa mjini Mbeya nyakati za usiku. Mwaka 1999. Hata Saidi Mwema alipokuwa Mbeya alikuwa akijua hili. Haijulikani kwanini wamechukua muda mrefu hivi kukubali kuwa nondo zina uhusiano na imani za kishirikina?!
   
Loading...