Search results

  1. B

    Waomba mikopo heslb 2013/14 wote watapata mikopo kwa 100%

    Hivi mkuu inawezekana kwa mtu aliyepata division 3 ya 17 yaan EEF, akapata chuo na kupewa mkopo % kwa mfano mchepuo wa arts(EGM),ambapo math-F?
  2. B

    NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

    Jamani ishu sasa sio tetesi tena coz habari nzima ipo gazeti la Mwananchi, tembeleeni ukurasa wa pili utaiona hiyo habari....its absolutely true guys...!
  3. B

    Annuur: Serikali imefuta mitihani ya Dini !!!!!!!!!!!

    Hayo ndo matatizo, mbona habari yenyewe haieleweki maana inaonekana kama imeegemea upande mmoja tu. Acheni uchochezi kama kazi hamna si mkae nyumbani kwenu mle ugali na mboga tu, damn it!
  4. B

    matokeo ya kidato cha 4 kutangazwa rasmi jumatano.

    Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe, acheni wahusika wafanye yao jamani! You have to be patient guys...!
  5. B

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Damn it! I hate this situation.....!
  6. B

    Vijana Angalieni muendako

    Kwahiyo we umeona chadema ndo watatua tatizo hilo? Tatizo hili haliitaji siasa, hapa ni uwajibikaji ndo unaotakiwa maana hata kwa chadema mambo yanaweza kuwa yaleyale coz kwenye msafara wa mamba hata kenge wapo, mafisadi hawakosi kila chama ...I hate politics!
  7. B

    True story

    Ukweli ni kwamba usafiri nafuu TZ ni TRAIN(Gari moshi) ambapo mimi huwaga naenjoy sana ninapo safiri kwa kutumia usari huu. Najua kuna watu wataniona kama katuni ila kwa wale watu wa Tabora, Kigoma ,Mpanda n.k wataniunga mkono..USAFIRI WA TRAIN unanipaga raha sana kwa sababu kuna usalama wa aina...
  8. B

    Kutamu balaa

    Kule wap mbona ume2fcha ? Funguka...!
  9. B

    TAHADHARI kwa wana ChitChat wote

    2Nashukuru 2mekuelewa, we wll take care of it!
  10. B

    Ajira JWTZ na vikosi vingine

    Wadau mi nlkua nataka mninform hv kuna ukwel wowote kuhusu 4m 6 waliomalza mwaka huu ambao hawakupata fursa ya kwenda JKT wataenda kw awam nyngne hv n kwel au rumaz 2?
  11. B

    Matokeo kidato cha sita 2013

    Jaman mi naona soltn n kukp kmya maana matokeo ya 4m 6 yamekua km mvua ya kiangaz ambapo wa2 wanaisubr inyeshe..BUT,guyz naomba mnijulshe hv n kwel zoez la kwenda JKT n lazm kw 4m 6 walio home kw sasa?
Back
Top Bottom