Mada kama hizi lazima tuwe tunasoma. Kwanza tupate contents za kutosha ndio tuje tuongee Muammar Gadaffi mpaka vuguvugu la mapinduzi linaanza dhidi ya Gaddafi sababu kubwa walimlaumu anatapanya fedha Afrika nzima wa Libya wanaishi kwa shida ila sio shida hiiizo ni basi tu raha zikizidi watu...
Simply ni kwamba Africa ilikua inaendelea kwa kasi ndogo hilo halina unishi ila walipokuja wazungu wakowavuruga watu wa enzi hizo nwa wakaanza kujenga nchi zao kupitia rasilimalli za Africa pamoja na nguvu kazi miaka karibuni 500 wanajenga kwao wakastop Africa so kufidia gape la miaka 500 mpaka...
Ndugu hapa umedanganya sana
Mkumbuke kua kuna rescue mission ilifail Hezbollah waliteka askari saba watano waliuawa baada ya kushindikana kuwaokoa wawili walirudishwa Israel kwa makubaliano ya kubadilishana wafungwa
Wengi tunaongea kwa mapenzi binafsi lakini ningependa kuongea kwa uhalisia (circumstantial facts) ambao nimeshuhudia kwa macho yangu kwa sababu mimi ni mkazi wa bagamoyo tangu 2003 ( muhamiaji) tangu hiyo 2003 najua ni muda mfupi sana ukilinganisha na umri wa chuo lakini nimeona vijana wenzangu...
Statement given in good faith bro dont rise irrelevant aspects you celebrate theft.? to smuggle government trophy doesn't done by themselves from nowhere but its is contributory simply our leaders and them sometimes you need to think in 3 dimensions
Mwandishi umeandika lakini kuna maeneo upo total wrong
Cha kwanza jihad kwa kiswahili sanifu maana yake ni Jitihada yaani kufanya jitihada katika kuyaendea mambo
unaposema dini ya uislam ilienezwa kwa jihad ni uongo jihad kwa upande wa vita ilianza pale mateso na uonevu vilipokithiri dhidi...
Hahaha simply unaelewa kwamba Mungu anajua yaliyopita,yaliyopo na yajayo Muhammad alikua anakutana na wakati mgumu sana na vichwa vigumu sana mpaka muda mwingine akidhani yeye ndo wa kwanza kukutana navyo sababu ni mwanadam kama mm na ww hajui yaliyopita wala hajui yajayo isipokua tu ni wahyi...
Yap atleast ni hvyo ukiwa pwani ya bahari nyeusi muda wa machweo ya jua kwa mtu asiejua rotation anaona kama linazama kwenye hayo maji meusi na ndo lengwa kuitwa matope meusi
Yani jamaa kaandika uzi alafu tayari kajiandalia na majibu ya na tayari ana mtazamo wake kaja kuweka hapa ili watu wajue mtazamo wake juu ya jambo husika sasa yote ya ya nini si ungebaki na mtazamo wako huko huko unasoma Quran masaa matatu then unajifanya umeshaielewa yote angali aya moja...
Alafu unapochambua Qur'an sio kama gaazeti inakua na mtiririko wake sio kama statutes kwamba ukichukua section moja inatosha kukamilika kwa maana ya jambo hutegemeana na mtiririko wa kisa kizima
Jamaa yangu ni metaphor language hapo ndo imekuchanganya ukikaa pwani ya bahari nyeusi kutokana na dunia kuwa duara utaona kama jua linazama kwanye hiyo bahari that's all
Huyu kasoma mada kaitafsiri kwa upeo wa udini akati kiukweli mada yahusu mwafrika kujikomboa hapo haijalishi dini yako wala kanda gani unatoka sema mwandishi katumia lugha ya kificho ambapo ukibakia kwenye yale maneno tu bila kufikiri lazima upotee kama ndugu hapo juu
hakika kuna watu hawajui kusoma alama za nyakati na humu kwny huu uzi nimewaona baadhi yao hakuna mwenye chuki na platinumz hapa tatizo ni consistency ya suala husika na unchokifanya je vinaendana? jambo ambalo linahusu ulizi wa nchi ww unarecognised presence ya mwana burudani kweli? je kuna...
tenda wema usepe usingoje shukurani hakuna ya kutambuliwa na wa south kikubwa ni kwamba kwny historia yao ya ukombozi lazima wamention TZ hata kama wataficha ukweli utabaki ndani ya nafsi zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.