Search results

  1. P

    VIDONGE VYA GISENG

    Wakuu za mchana? Niombe kuuliza wapi naweza kupata vidonge vya Giseng kwa hapa Dar. Sina maelezo ya kutosha ya hii bidhaa, ila kwa kifupi nimeona katika vyanzo mbalimbali kuwa inaboresha mifumo yote ya mwili. Kwa anayejua kuhusu upatikanaji wake, bei na uzoefu tunaweza kupeana updates hapa...
  2. P

    Naomba kufahamu Sumu ya mchwa

    Wakuu za jioni? Niende kwenye mada bila kupoteza muda. Kuna kibanda nimejenga mahali na nimempiga vizuri tu. Tatizo lililopo ni mchwa wanaojipenyeza na kutukezea juu. Niombe mwenye kujua dawa ya kuwaangamiza hawa wadudu kabla ya kuleta uharibifu mkubwa.
  3. P

    Natafuta wataalam wa madirisha ya aluminium

    Nianze kwa kuwatakia salumu nyingi za jioni, na wale wafuasi wa Simba, happy Simba day. Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna nyumba yangu nataka kuiweka madirisha ya aluminium ila bado sijapata mwafaka wa bei. Madirisha yapo 14, kati yake makubwa ni 10 huku mengine yakiwa ni madogo. Kwa...
  4. P

    Natafuta mtaalam wa kuchora ramani Dodoma

    Amani iwe nanyi. Natafuta mtaalam wa kuchora ramani anayeishi Dodoma. Kuna eneo nataka kujenga vyumba vichache kwa akili ya biashara. Kwa mwenye sifa hizo tuchekiane inbox.
  5. P

    Naomba msaada wa kupata vitabu vya Banking Law

    Kuna utafiti/ andiko nataka kufanya kuhusiana na sheria za mabenki hasa hasa katika realisation ya securities. Naomba mwenye vitabu au kesi zozote tuwasiliane hapa. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    Wakili anahitajika

    Kama kuna wakili junior ambaye hajapata kazi na ni mkazi wa Dodoma aje inbox tupange mkakati
  7. P

    Namtafuta technician wa Civil Engineering

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika, ninaomba kama kuna kijana ambaye ni technician wa civili engineering ambaye yuko mkoa wa Iringa au mikoa ya jirani tuwasiliane. Kuna biashara nataka kuianzisha ila bila ya kupata mtu mwenye ufahamu kidogo katika eneo husika, naweza kupata shida kidogo...
  8. P

    Looking for a Technician

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika, namtafuta kijana ambaye ni technician na mwenye uzoefu kidogo kwenye construction industry ( civil engineering). Awe mtu wa kazi kweli kweli, mwenye sifa hizo anicheki inbox, tuongee kuhusu kuanzisha biashara ya vile. Nipo iringa kwa sasa na itakuwa rahisi...
  9. P

    Natafuta mchumba

    Natafuta msichana atakayekuwa mchumba wangu, vigezo awe mweupe, mrefu name mnene wa wastan. Elimu angalau diploma hata kama huna kigezo cha elimu kama uzuri upo wewe tiririka kwa pm , Nina mshahara mzuri na posho. Waswahili , waarabu na wazungu kazi kwenu, pm zote zitajibiwa
  10. P

    Natafuta girlfriend mwenye kg 60

    Mimi ni kijana aliyemaliza chuo kikuu , nina kazi nzuri , natafuta girlfriend awe mweupe na uzito zaidi ya kg 60 , mnakaribishwa wote
  11. P

    kujua tiba

    hi kwa wote, naomba kuulizia tiba ya ugongwa unaowapata wanaume ambao unaitwa pearly penile papulace. Kwa kifupi unakuwa na vipele kuzunguka kichwa cha uume na hauambukizi na wala sio ugonjwa wa zinaa. nitashukuru xana
Back
Top Bottom