Sio laana peke yake yaani mtakua mmetudisapoint sana watanzania kwa sababu hii ndo nafasi pekee ya kuiwajibisha serikali ya ccm, inawezekana 2010 tulichagua kwa kufuata mkumbo au uoga au kutojua au ahadi au kuhongwa nk. mambo ni mengi, kitu cha kujiuliza? kwa nini tusijifunze kutokana na makosa...
Kweli Keren hata mimi kwenye akili sikubaliani nae, kuna wanawake wengi tu mbona vichwa, tena sana tu hata kushinda wanaume, kuna vitu haviiangalii jinsia ukiacha akili ,kuna kipaji pia nk. hivi mtu anazaliwa navyo angalia kwenye mziki kwa mfano jinsia zote mbili zinafanya vizuri, kinachowafanya...
Ya ni kweli vibuti vinauma ila hakuna jinsi lazima ukubali na kisha usahau, haya ndo maisha, ukisema huwezi kusahau unakua unashindana na nature, jiulize kuna wangapi na wewe umewapiga vibuti? ukipata jibu utakubaliana na hiyo hali coz ili mapenz yatokee lazima unayempenda awe na feelings kama...
Bebii tatizo sio I LOVE YOU, pale mwanzoni ukishaambiwa hiyo I LOVE YOU au hata usipoambiwa unatakiwa uweke terms and conditions, what do u need to achieve from the relationship coz mara nyingi goals zinakua tofauti wakati yeye anafakiria short time relation labda ww unafikiria long time...
Uamuzi wa Mheshimiwa Rais kumtetea Ngeleja kuwa mgao wa umeme unasababishwa na ukame ndo umenifanya niamini kweli hapa hatuna kiongozi, hivi sisi (watanzania) ni watu wa kutegemea umeme wa maji peke yake? haingii akilini,vipi kuhusu vyanzo vingine, makaa ya mawe, gesi, madini ya uranium nk...
Kwa taarifa yako watanzania sasa hivi hawadanganyiki, unajifanya hauna dhiki kwa sababu uko kwenye system, watu wabinafsi kama nyinyi mnaojifikiria wenyewe tu lazima muogope mabadiliko kwa sababu once the system collapse u also collapse so lazima mpinge mabadiliko ili mwendelee kua kwenye...
Hivi tatizo ni mfumo dume au? Mbona Richard alifanya au haikua live kama Bhoke au kwa sababu alishinda au wanaume wakifanya ruksa wanawake ndo inakua haramu.
Tatizo sio uvivu,we kama ulitaka tuisome ungeiweka hapa sio tuanze kuitafuta kwa sababu hiyo sio mada iliyo mezani,watu tuna mambo mengi,kua Great thinker haimaanishi ndo uwe unashinda humu.
'Piece does not mean absence of war alone, its more that' kwa hiyo usifikiri kwa sababu Tanzania hakuna vita basi ndo amani yenyewe, amani lazima iendane na maendeleo ya watu wote huku tofauti kati ya walichonacho na wasionacho ikiwa ndogo kadiri inavyowezekana,lakini kwa hali hii tuliyonayo...
Naona wewe ndo haujashauriana na mkeo au kama ushauri wenyewe ndo huu ni bora usishauriane nae tena,utalinganishaje kesi ya ufisadi na wizi bwana, jaribu kua serious kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.