Search results

  1. Menapitatu

    Nichukue hatua gani, nimekosa interview Jeshi la Polisi

    Wadau wa JF nifanye nini baada ya ku miss tarehe ya interview jeshi la polisi kwa wenye taaluma, Tangazo la kuitwa nimeliona tarehe 05 Sept 2015 wakati wao deadline Yao tarehe 04 Sept 2015 msaada tafadhali wadau 0753467001
  2. Menapitatu

    Nafasi za kazi viwandani

    Wadau wa JF habari naleta kwenu ombi langu la mtu yeyote atakaeweza kunisaidia kupata kazi viwandani kwa hapa Dar, kazi iwe yoyote kiwanda chochote nifanye kazi kama kibarua
  3. Menapitatu

    Natafuta nafasi ya kazi kujitolea

    Wakuu wa JF! Mimi ni kijana miaka 21(me), nimemaliza Ordinary Diploma ya Civil Engineering mwaka huu natafuta sehemu ya kufanya kazi ya kujitolea lengo kubwa likiwa ni kupata uzoefu wa kazi. Kwa Sasa napatikana Dar ila hata mkoani naweza...
  4. Menapitatu

    Natafuta kazi, Nipo Dar

    Wakuu wa JF kama mnavyojua kupata kazi imekua ngumu mimi ni kijana (me) natafuta kazi yoyote Ile halali nipo Dar naamini humu Kuna watu wanaweza kutoa msaaada uwo kwa kijana kama mimi
  5. Menapitatu

    civil engineering material laboratory in Dar Es Salaam

    Wakuu wa JF kwa anae fahamu kampuni lolote la private linalo jihushisha na shughuli ya testing ya materials ya ujenzi naomba taarifa, Nina kazi ya kufanya testing ya aggregate. Mawasliano yangu 0753467001
  6. Menapitatu

    Natafuta ya kununua smart phone dau laki moja

    Wadau naomba mwenye smart phone mpya au used kali aniuzie kwa bei la laki moja nipo mwanza... Mawasiliano 0767 297210
  7. Menapitatu

    Morogoro road ilijengwa mwaka gani?

    Habari wadau wa JF, Mimi ni mwanafunzi ngazi ya diploma ya uhandisi ujenzi. Sasa hivi tupo kwenye project final year sasa project yangu inahusu masuala ya barabara ya Moro ndio nikakutana na swali hilo hapo juu.
  8. Menapitatu

    Kozi ya afya niliyochaguliwa inanichanganya...

    Wadau wa JF nimechaguliwa kozi ya Health distrct management sasa sijaielewa hii kozi inakuaje, nafasi zake za ajira ziko vipi?? Na pia hawa ndo watu gani??? Mm sikuichagua nilichagua crinical medicine naomba ushauri wako ..... Nikasome au nitafute nafasi nyingine
  9. Menapitatu

    final year project (civi engineering)

    Wadau mm n mwanafunz wa mwaka wa pili chuo cha civil engineer sasa kuna inshu ya TITTlE kuhusu project kwa level ya Diploma naweza kufanya project gan.?? Unaweza nipa idea au ukadondosha number yako ya cm me nikakupigia tukawacliana...... Kwa sasa nipo Dar
  10. Menapitatu

    Whattsapp for Asha 200

    Wana jf msaada plz jinsi ya ku install whatsapp kwa nokia Asha 200 kuna uzi niliuona humu unahusu hii kitu lakin najaribu kwangu inashindwa nipo mbez mwisho
  11. Menapitatu

    Azam tv kulikoni mbona mnanizingua

    Wadau mbona chanel zangu leo zinaandika Smart card never paired msaada tafadhali tatizo nn
  12. Menapitatu

    Msaada Azam Tv

    wana jf nimenunua kingamuzi cha azamtv.naitaji fundi wa kukifunga dau langu ni Tsh 15000 msaada tafadhali
  13. Menapitatu

    Msaada Dean of student chuon

    jaman wadau naomba kujua kaz ya dean of student chuon
  14. Menapitatu

    single room cha kupanga

    habar zenu wana jf.... Me natafuta chumba cha kuish (kupanga) single room.Me nipo Misungw kwa sasa kama upo misungw una info zozote plz tuambiane coz misungw madalali hakuna
  15. Menapitatu

    Mgen jaman nkaribshen bac!!!!

    menapita tu nilikuaga nasoma tu nakupita tu but leo na mm n member kamir bhana
Back
Top Bottom