Mwenyekiti wa UVCCM Taifa bwana Sadifa ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sheria( School of law) ameonyesha namna ya chama cha Mapinduzi na baadhi ya wafuasi wa Chama hicho kwa kupenda rushwa.
Pale Chuoni kuna uchaguzi wa kumtafuta Makamu wa Rais wa COHORT ya 16 ambao ulitakiwa ufanyike tarehe...
Wakati wa Operesheni Vijiji ilitokea mvutano wa kuhama. Baba yangu pamoja na wazee wengine walisafiri kutoka kijijini Singida wakaja Dar es Salaam kulalamika.
Walilalamika kwamba tunatakiwa tuhame kwenye kijiji chenye mashamba makubwa. Wakaja kupiga kelele na serikali wakati huo iliwasilikiza...
Wana jamvi.
Nichukue Fursa hii kwanza Kuishukuru Kamati ya Kanuni ambayo imefanya Kazi kubwa sana huku Utundu Mkubwa wa Kujisomea na utaalam wa Hali ya Juu wa Tundu Lissu ukijionesha Bungeni( kauli ya Ismaili Jussa).
Kanuni hizo ambazo Bunge Maalum limepitisha jana CCM walikuwa wakipigia...
Kwa kuwa kazi ya kuteua wajumbe wa katiba imeisha baada ya Rais kutangaza majina ya wajumbe hao japo kwa macho tu wengi wao ni wana CCM wakomavu jambo ambalo ni vigumu kusema katiba hii itakuwa na maslahi ya Kitaifa.
Kwa msingi huo kilicho baki sasa ni namna ya uendeshaji wa Bunge hilo ambalo...
Taarifa Rasmi kutoka kwa Mwenyekiti wa URINGO zinasema kuwa Anna Abdalah alipitishwa na Taasisi ya Wanawake wenye uwakilishi Bungeni ijulikanayo kama URINGO.
Itakumbukwa kuwa Anna Abdalah ni Mbunge wa Jamuhuri ya Muungano ambaye anaingia kwa Wadhifa wake na cha ajabu kapendekezwa tena na...
Taarifa rasmi zinasema kuwa Naibu Waziri wa Fedha kwa Upande wa Sera ameanza Ziara Rasmi ya kukutana na Wafanyabiashara Katika kila Wilaya.
Jana tarehe 30/01/2014 alikuwa Njombe ambapo alifanya kikao hicho na Wafanya Biashara hao na hivi leo navyo andika Uzi huu yupo Songea Mjini.
Kwa kifupi...
Nimekuwa mfuatiliaji sana wa Siasa za Upinzani hapa Tanzania hususani Chadema. Mh. Mbowe amekuwa akitumia Busara kubwa sana katika Siasa ambayo wanasiasa wengine hawana na hiki ni Kipaji pekee ambacho kwa Mtazamo wangu naona mungu kamjalia. Kipaji hicho ni cha kukaa kimya pale ambapo...
Hapa nchini Chadema imeonesha uwezo Mkubwa na nguvu kubwa sana katika kutawala Majiji makubwa.
Mbeya mjini......Sugu
Arusha mjini.......Lema
Mwanza(Nyamagana)....Wenje
Dar......Mnyika na Mdee.
Hii ni Ishara tosha kuwa wakiweka mkakati mzuri wa Ushindi Mwaka 2015.
Kwa wale tuliosoma pale Mlimani Udsm mnafahamu wazi kabisa kuwa Siasa za Daruso na tabisa yake. Lakini kikubwa ni kuwa siasa za pale zina tabia kubwa moja za kutafuta umaarufu hasa wa kuorganize mgomo kwa madai yoyote yale ndiyo mtu unaonekana unaweza ila si kwa kujenga hoja pale Rev. Square...
Wana Jf,
Naomba ieleweke kuwa Katiba ya CHADEMA toleo la mwaka 2006 ndiyo msingi mkubwa wa kuendesha taasisi. Ufafanuzi uliotolewa leo kwa vyombo vya habari na Wakili Albert Msando ni upotoshaji mkubwa wa Katiba ya Chadema na hii inatokana na aidha uelewa mdogo wa Katiba hiyo na/ au ni...
KIFUNGU ALICHOTUMIA ALBERT MSANDO KUTOA UTETEZI WAKE JUU YA KANUNI ZA KATIBA ZINAZO ELEZA HATUA ZA KINIDHAMU ZA KATIBA YA CHADEMA NI VYA ZAMANI NA KULIFANYIKA MAREKEBISHO MWAKA HUU NA BARAZA KUU TAREHE 28/01/2013 na MAREKEBISHO HAYA WAKILI MSOMI ALIKUWA HAYAJUI KABISA KWANI ALICHO KIZUNGUMZA...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amestaafu rasmi utumishi wa umma baada ya kufikia umri wa kustaafu kisheria wa miaka 60.
Manumba aliyeanza kulitumikia Jeshi la Polisi miaka ya 1970, nafasi yake itashikwa kwa muda na Mkuu wa Ufuatiliaji na Tathmini (CID)...
UCHAMBUZI WA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, SHERIA YA UKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI NA. 11 YA MWAKA 2008"Public Audit Act 2008", SHERIA NA. 5 YA VYAMA VYA SIASA 1992 PAMOJA NA MAREKEBISHO YAKE YA MWAKA 2009.
Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali iliundwa chini...
Wanajamvi.
Naombeni msaada wenu kwani najua wengi wenu mmefuatilia kwa makini sana juu ya Ukusanywaji wa maoni na mapendekezo ya rasimu ya katiba mpya. Nahitaji kujua mpaka leo ambapo ni deadline ya kupeleka maoni hayo je Taasisi zipi na ni ngapi na watu maarufu wepi na wangapi kwa maana ya...
Wasifu wa Prof sifuni Mchome nimeanza kuujua pindi nipo katika kitivo cha Sheria pale Udsm aalifanya madudu yafuatayo.
1. Mwaka 2007 waliokuwa second year ya mwaka 2007 kitivo cha sheria wakati huo yeye akiwa Dean wa Faculty walidisco wanafunzi 25 kati ya 150 sitaki kuamini kama kweli wote...
Habari za uhakika toka kwa Msafiri Mtemelwa ( ambaye kwa sasa si mkurugenzi tena) zinasema kuwa Mh. Zitto Kabwe anakusudia kufanya ziara ya kuimarisha chama mikoa 5 hapa nchini na hii inatokana na yeye kujitenga katika ziara ya Chopa katika mabaraza ya katiba mpya.
Taarifa sahihi zinasema kuwa...
Na Jennifer Chamila, MAELEZO
Msajili wa vyama vya Siasa nchini amewaasa wanachama na viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia muda wao kufanya shughuli za siasa ili kuchangia maendeleo ya nchi badala ya kutumia uwezo na muda wao kubuni mambo yanayoleta mtafaruku...
Wanajanvi,
Habari za Uhakika toka Wilayani ulanga Mhenge vijana wapatao zaidi ya mia moja wa Green guard wanafundishwa mazoezi ya ukakamavu ambayo mafunzo yake yana elements za kimgambo. Taarifa sahihi ni kwamba wapo eneo la Magamba- Mahenge katika jimbo la Serina Kombani.
Na mara nyingine...
Wanajamvi.
Uchaguzi wa Bavicha unatarajiwa kufanyika mwaka huu mi napendekeza Mwenyekiti anayefaa wa kumrith John Heche ni Laurent Mngweshi Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Katavi.
Twende kazi.........................we unaonaje
WAKUU:
1. Mtakumbuka kuwa hapa nchini kulikuwa na kashfa ya mke wa kamishna wa polisi mwandamizi aliyejipatia kipato kwa kuwalaghai vijana nchini kuwa watoe pesa ndiyo awatafutie ajira usalama wa taifa na katika jeshi la polisi. mke huyo ni wa chagonja lakini kwa kuwa nchi hii inaendeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.