Search results

  1. K

    Nape: Kingunge afanye anachotaka

    Vita vya panzi kapatikana Magufuli
  2. K

    Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    Hivyo hata Wasira kajikaanga? Si alukwa NCCR huyu?
  3. K

    Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

    Je huyo Lowassa atapenya CC?
  4. K

    Dr. Slaa uso kwa uso na Zitto kwenye Mdahalo tarehe 18 June!

    Ni nani kamuambia muandaaji kuwa Zitto, Slaa na Makaidi ni presidential aspirants? Mbona ni Lipumba tu ameshatangaza nia?
  5. K

    Kitila abainisha madhaifu mawili ya Zitto Kabwe Katika Uongozi

    Haya sasa. Nilisema kuwa rangi ya "purple na White" walochagua chama cha ACT ni rangi ya MSIBA.
  6. K

    CHADEMA Arusha: Mkutano wa hadhara wa Lema, Lissu & Kafulila - UPDATES

    Ni pamoja na Prof SIFURI Mchomwe aliyeipaisha elimu ya TZ
  7. K

    Tanzia: Dr Alleck Che-Mponda hatunae tena

    RIP lakini alikuwa Kibaraka (Pandkizi) wa CCM
  8. K

    Kosa la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Uwajibikaji wa pamoja

    Alitenda kosa kubwa. Yeye kama mtendaji Mkuu aliweza kabisa kutoa hizo reservations na hata kukataa kwenye kikao kilichoamua kutoa hilo tamko. Kutoka na kwenda kulizungumzia kwenye FORUM ndogo kama WAWATA (Wanawake Wakristo Tanzania) ni kujidhalilisha na undumila kuwili.
  9. K

    Tamko la Maaskofu na Wachungaji wa Kipentekoste juu ya kuugua ghafla kwa Askofu Gwajima

    Gwajima alisema kweli, ila tu alizindisha kwa Hasira alokuwa nayo. Pengo ndiye avuliwe Uaskofu wa jimbo kuu la Dar kwa kuwadhalilisha Maaskofu wengine pamoja na Kanisa Katoliki kwa "kuufyata" mbele ya 'homeboy' wake Pinda. Ukabila ulimponza.Kuna msemo unaosema kuwa "Ukiwa mtupu huku umevaa Msuli...
  10. K

    Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

    WAKUU, Natumai rangi za purple na White ni rangi za MSIBA au sivyo?
  11. K

    Kingunge: Huwezi kumzuia mtu anayependwa na watu

    Kazeeka vibaya, anatapatapa Mzee huyu. Mara awe kiongozi wa Wachawi/waganga
  12. K

    Bungeni Escrow - Stanbic Mnyika ahoji usiri/utoroshaji pesa kwenda Austria, S.A na vigogo kutohojiwa

    Si walitajwa Salama na Miraji watoto wa mzee wa Kaya?
  13. K

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Kweli MKUU. Lakini cha ajabu zaidi Pengo akiwa ndiye Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania, na vile vile mjumbe wa TEC kama askofu Mkuu wa Dar alishindwa nini kuita mkutano wa WanaHABARI KUPINGA MSIMAMO huo WA mAASKOFU na akaamua kuzungumza KWENYE KIKAO CHA kinamama?
  14. K

    Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    Ni Kweli MKUU. Nape na Makonda hakuna rangi ambayo hawataona kama Edo akiwa Rais
  15. K

    Lowassa: Siwezi kumjibu mtu aliyebwabwaja kuwa nakusanya watu kupata uungwaji mkono!

    MKUU hujui kuwa ana shahada ya USANII (Theater arts)?
  16. K

    Senegal's Karim Wade jailed for corruption

    Na familia yao yote. Tuwakumbushe yaliyowatokea familia za Saadam Hussein na Khadafi
  17. K

    Mwinyi, Mkapa, Kisumo, Salim, Warioba, Msuya, Malecela, Kaduma na wengine wengi

    Aliupata hivo hivo. Na 'mpikaji' alikuwa huyu huyu LOWASA. Chezea Nguyayi wewe?
  18. K

    Zitto kutimkia ACT-Tanzania?

    Spika Anna Makinda yuko right kabisa kumnyima kuaga Bungeni. Alichosema Mh Aden Rage ni sahihi kabisa. Ingekuwa ni 'mahoka' kama angeruhusiwa kuaga bungeni.
  19. K

    Anna Makinda: Natambua Zitto Kabwe bado ni mbunge

    Chezea CHADEMA wewe. Hujasikia hata yule "MSUKUMA" anaomba afukuzwe lakini hafukuzwi? Wajiondoe wenyewe
  20. K

    Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    Kama kuna Maaskofu wa UKAWA vile vile wapo wa CCM. Ni nani hao? Ni Askofu mganga njaa MTETEMELA?
Back
Top Bottom