Search results

  1. T

    Kiwanja kinauzwa kigamboni-Mwasonga

    Nauza kiwanja kipo kigamboni eneo la mwasonga opposite na KISALAWE B SECONDARY, kina ukubwa wa ekari moja. Bei ni sh ml 13 au ukitaka nusu ekari ni sh ml 6,500,000. Maelewano yapo. Kina nyaraka za serikali za mitaa, mawasiliano 0712293766. ASANTENI.
  2. T

    Nauza kiwanja kigamboni

    Dah! Kwa kawaida ekari moja unauza sh ngapi huko mwasonga MKUU??
  3. T

    Nauza kiwanja kigamboni

    Habari ndugu zangu, nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja,kipo kigamboni Mwasonga opposite na sekandary ya kisalawe B. Ni cha kwangu mwenyewe,nauza kwakuwa ninashida ya ADA ya masomo,hakuna hati ila kina document za serikali za mitaa. Ni sh ml 16 tu. Tafadhali kama unaweza kukinunua naomba...
  4. T

    Nina mashaka kama Prof Jumanne Maghembe anaendana na kasi ya Rais Magufuli

    Huyu waziri na katibu MKUU wake hamna kitu,taasisi za elimu zilizojngwa chini ya wizara yake ikiwamo chuo cha taifa cha utalii viongozi wamefuja sana Mali ya umma na inajulikana wazi kabisaaaa,na uongozi uliotangulia kwa maana ya katibu MKUU aliyekuwepo alishaanza kulishughulikia,lakini baada ya...
  5. T

    Nauza ekari moja

    Samahani wadau sijajipanga na tangazo langu,nitakuja nikiwa na full information.
  6. T

    Nauza ekari moja

    Wadau nauza ekari moja sh mil.17, kipo kigamboni maeneo ya kisalawe B kiko karibu na dar zooo.karibu sana.0688661057
  7. T

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba kama kuna MTU amewahi kuagiza gari kupitia kampuni ya CARDEAL PAGE ya Kijapan anisaidie kama hawana SHIDA yoyote.asanteni.
  8. T

    Kirombelo: Afsa mtendaji wa Kijiji afungiwa Ofisi

    breaking news Afsa mtendaji wa kijiji afungiwa ofisi baada ya kushindwa kuafikiana na Mw/kit wa kijiji pamoja na wajumbe. update caming...... Siku nne zilizopita katk kijiji cha Mlimba (w)Kirombelo kulikuwa na mkutano mkuu wa hadhara, agenda kuu ni kusoma mapato na matumizl. Kwa...
  9. T

    Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    police wawili wameuwa kikatili huko mbagala na watu wasiojulikana na kutokomea kusikojulikana.wamefanikiwa kuwanyang'anya silaha na kutokimea nazo. source mtu aliye ndani ya jeshi la police
  10. T

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Aaaaaah kumbe pengo c kitu, kapewa za escrow huyu, she.. Zake
  11. T

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    Kigogo nasikitika kwamba ni watu wachache sana watakuelewa, wengi wao hawataki kufikiri, ila ni namba moja kukaririshwa kama wao c binadamu.
  12. T

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    mara nyingi wavivu wa kufikiria hukumbilia kufungua vitabu vya wakoloni badala ya kujenga hoja. akili ya kuambiwa changanya na aliokupa mungu wako.
  13. T

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    Yericko una akiri nyingi sana, watu kama ninyi ni wachache sana duniani. waliowengi ni mizigo
  14. T

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    Ukiwamo wewe kama mchangiaji mmojawapo
  15. T

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    ndugu yangu yericko, watanzania wengi uwezi wao wa kufikiri ni mdogo sana, badala ya kutafiti wao wanakurupuka na kuropoka tu, na hii mada ingetolewa na mzungu ungeona wanavyokenua meno na kushangilia na hata wasijue wanashangilia nn. Narudia tena watakaoekewa hii mada ni wachache sana.
  16. T

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    yeriko hii mada yako watakaoweza kukuelewa ni wachache sana kwasababu wenye akili ni wachache sana hapa tanzania na duniani kwa ujumla. Ila nashukuru kwakuwa kuna baadhi ya watanzania wana akili, sema tu majinga ndo mengi, badala ya kujadili hoja wanakimbilia kwenye vitabu vya historia, ambavyo...
  17. T

    Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

    Hahahahaaaaaa! ubarikiwe na mungu wangu kwa kuniongezea cku za kuishi, nimecheka sana.
  18. T

    Kiongozi wa CHADEMA, Wilaya ya Rungwe Mr. kalonga

    tumekupata mkuu,tunaomba hizi taarifa zicpuzwe kabisa.
  19. T

    Wanaume wenye sura mbaya ndio waanzilishi wa kuhonga wanawake

    Utakuta kuna mwanaume ana Sura ya ajabu, sura ya kutisha, sura utafikiri anakunywa Gongo kila saa, mpaka wanawake wanamuogopa kumuangalia. Mwanaume kama huyu mwanamke gani atamtaka, mwisho wake wananza kutumia wapambe kumpelekea pesa huyo mwanamke. Mwisho wa siku tamaa ya wanawake hujishitukia...
Back
Top Bottom