kumwamini mwanaume kwamba hawezi kutongoza nje ni ujinga unaotokana na kukumbatia mafundisho ya wazungu, waliyoyaleta kwa maslahi yao, maana kwa asili kila kiumbe cha kiume kinazo sababu za asili kuwa na jike zaidi ya moja.
Ibrahimu baba wa imani ya kikristo alikuwa na wake wengi
japo uzinzi...
Bora wamfunge tu, ingawa huenda hana akiri timamu, maana miaka 15 hata hajui kumkojoza mwanamke, ye alifata nini wakati kuna ma rijali wanaita kila anaekatisha mbele yao?
Serikali haiwezi kuwaacha ktk hali hiyo, itakuwa na mpango mbadala,
kama wanauwa watu wengine wanaoingia kisiwani humo kufikia mahala pa serikali kuona hilo huenda nao wako
Anekana adui wa binadamu wengine;
sasa kama serikali inaweza kuwachukuli hivyyo maana yake ina lake jambo nyuma ya pazia...
Je ni binadamu kama sisi?
Na je wanajua nn kuhusu Mungu?
Na kama hawajui chochote
Tukisema kwamba haya mafundisho ya dini waliyaleta kwetu wazungu ili watutawale mtabisha?
Kama Mafundisho hayo yako corect kwa nini wasikutwe na wao wanayo mafundisho yanayofanana na ya vitabu vyetu vya dini, kwa...
Ukioa mke wa pili, inawezekana akawa na vitu vinavyokuvutia ila siyo lazima vile vilivyokuvutia japo ni vichache kwa mke wa kwanza ukavikuta kwa mke wa pili, kwa hiyo utaona kama hata huyo pia ana mapungufu, hivyo mawazo yako hayatatulia kwa kuwa utakuwa umebadilisha aina ya matatizo na siyo...
Bibkia inasema unaweza kumwacha mkewako au mume wako kwa sababu ya zinaa, wewe unakaa nae wa nini na ameshakubali mwenyewe na kibaya zaidi ana li mzigo usilolojua?
We ni Mwanaume "Bwege" ref Bushoke
Ukikutwa na matatizo ya ndoa utadhani yapo kwako tu.
Na wengine hukimbilia kuoa na kumpiga chini wa kwanza,
Hivyo siyo kutatua tatizo, ni kuliongeza, kwani kila utakaemuoa anaitwa kiumbe dhaifu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.