Search results

  1. R

    Volunteering Bank

    jamani nina Bsc Computer science nataka kufanya volunteering katika banks,naombeni msaada kwani kila ninapojaribu kuomba ninakosa,wana JF nisaidieni mawazo yenu ni mchango Tosha
  2. R

    utumishi wametema

    kwa wale wote walioomba kazi katika sekta mbalimbali utumishi wametema.tafuta jina lako mapema anza kureview madesa uliyoyasoma kapige interview nawaombea mema mungu awabariki
  3. R

    Utumishi Vip?

    Mbona walisema leo wataweka majina ya waliochaguliwa kwenye tangazo la kazi la tarehe 26 march
  4. R

    recruiting agency

    msaada please kwa yoyote anayejua recruiting ageny zilizopo mwanza anijuze kwani ni mgeni kidogo mkoani hapa
  5. R

    Msaada wa mawazo pleaseee

    Nashukuru kwa mawazo yako,Ni kweli swala la kujiajili uwa nalifikilia sana na napenda lakini uwa nawaza mtaji huo wa kuanzisha ofisi nautoa wapi akati hali yangu kifedha hairuhusu.
  6. R

    Msaada wa mawazo pleaseee

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni...
  7. R

    Msaada wa mawazo pleaseee

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha dodoma(UDOM) degree ya computer science nimetafuta kazi mpaka nimekata tamaa kwani sasa ni mwaka unaisha sijapata ajira, nimesambaza aplication zangu kwenye makampuni bila mafanikio na ninaendelea kufanya applicatiion online kwani sijui siku yangu ya kufanikiwa ni...
  8. R

    Head of IT - Spedag Tanzania Limited

    ahsante mkuu ngoja tuifanyie kazi
  9. R

    helloooooo!

    naomba ushilikiano weno wenu mimi ni memba mpya.nawapenda xna wana jf
  10. R

    Nafasi za uhamiaji.

    kaka usijali siku itafika utapata kazi,wazoee wana JF wengine wanakatisha tamaa
  11. R

    natafuta kazi yoyote ya IT

    mim ni memba mpya nina bachelor ya IT naishi mwanz, nimemaliza 2012 natafuta kazi naomba maoni yenu.ntashukuru kwa mchango wenu
Back
Top Bottom