Sisi wabongo wachoyo wa credit, na hutoa credit kwa mtu asiyestahili. Hivi umeshajiuliza na kukumbuka kabla ya Tido kuwa mkurugenzi wa TBC, enzi hizo TVT ilikuwaje? Nani alikuwa anaangalia hiyo channel?
Huenda kweli Tido ana matatizo yake, lakini siwezi kumkosoa kwa mageuzi makubwa aliyofanya...
jamaa vifaa wanavyo vya kutosha, isipokuwa tatizo lipo kwenye njia ya transmission. mara nyingi matangazo hurushwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa kutumia microwave link, satellite au internet.satellite link ya 30 minutes inaweza kugharimu up to $1500, ingawa broaband internet inaweza...
mwanzo nilikuwa siamini kuwa baadhi yetu hapa JF tunapenda uzushi, haya mnayoyasema ni kujifurahisha au mna uhakika nayo? sikilizeni matangazo kwanza muone CHADEMA na Slaa wamesikika mara ngapi kabla ya kugombana na keyboard zenu. Dr Slaa kapewa over 30 minutes siku ya Alhamisi, zaidi ya hapo...
Fuatilia matangazo maalum ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC, moja kwa moja kutoka Dar Es Slaam.
Kila siku kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa tatu usiku. Bofya hapa.
MacBook Pro ya May 2010 inauzwa. Bei ni USD 1,800 (ikiwa dukani ni USD 2,200). Specs zake ni kama ifuatavyo:-
Monitor: 15-inch
Processor: Intel Core i7 2.66GHz
Memory: 4GB
Hard drive : 500GB
Card slot: SD
Battery: Built-in battery (8-9 hour)
Intel HD Graphics
Graphics card: NVIDIA...
Soko la internet bado ni changa, isipokuwa kwa mtizamo wangu muhimu zaidi ni download/upload speed kuliko bandwidth limits.
Kwa mfano unaweza kuwa na 8GB bandwidth au tuseme hata unlimited, lakini speed ni 128kbps, itakuwezesha ku-download torrents za movie 20 - lakini ikakuchukua mwezi...
Mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Eric Nampesya, leo Ijumaa asubuhi alikamatwa na kuwekwa mbaroni baada ya kukorofishana na mkurugenzi wa jiji la Mwanza - kisa alienda kufuata reaction kwanini shule nyingi hazina vyoo vya kutosha?
Nampesya alifanya story iliyo-highlight watoto wa shule...
Nimevutiwa na huu mradi ambao nilipokuwa Kenya hivi karibuni nilishuhudia ukianza kuonekana ni jinsi gani utaondoa tatizo sugu la msongomano wa magari kuingia na kutoka mji mkuu Nairobi.
Ni mradi wa barabara ya Thika, bofya hapa uone. I'm sure serikali yetu ingekuwa na fikra nyoofu wangekuwa...
It will take time and effort to polish the product, tatizo mojawapo ni kwamba hakuna content ya kutosha ya kiswahili online kuwezesha algorithm ya google kupata meaningful translation.
Sehemu nyingine kunatakiwa manual translation, mathalan, methali na misemo haviwezi kutafsiriwa na softaware...
Hakika nakubaliana na Shy, Jumanne nilisikia BBC Swahili wakitangaza kuhusu ihub,na tunajua Ushahidi imepata umaarufu kote duniani - si kitu cha ajabu ni idea iliyozaa software yenye practical use katika global scale.
Taznania tunakosa focus na priority ya nini muhimu cha kufanya kwa taifa...
shy unaandika mada za maana sana, zenye fikra endelevu katika maswala ya tekno kwa ujumla. lakini wenzangu mbona michango ya mawazo patupu? mathalan hili swala la kulinda watoto wasiathirike na yanayopatikana kwenye wavuti (internet).
kwa sisi wana JF kukaa kwetu kimya ina maana athari hizi...
by the way mbona bado unatumia XP SP2? kuna faida nyingi za ku-update kwenda SP3 ikiwa ni pamoja na stability na security ya XP kwa ujumla. ni ushauri tu.
inahitaji investigation zaidi
je inapogoma ku-reboot inatoa error message yoyote au inakuwa black (as black screen of death)?
inawezekana ilikuwa reset ifanye booting kwa device nyingine tofauti na hard drive - CD au USB katika BIOS.
anyway, kabla sija-speculate na kukupa ushauri mbovu, toa...
huwa si rahisi kuelewa chanzo cha tatizo kama hilo kwa urahisi, especially kwa kuwa mashine ni used - huenda aliyekuwa nayo awali aliichokonoa.
lakini mara nyingi linaweza kuwa ni tatizo la drivers (software inayowezesha kifaa kama hicho kufanya kazi katika kompyuta).
hakikisha kompyuta yako...
Huwezi kuweka league moja globalpublishers ambao content yao ni tabloidish ukawalinganisha na DailyNews + Ippmedia + Mwananchi ambao wanaandika serious stories. Hivyo ndiyo tunavyo-categorise news outlets, no offence, sorry nilitumia technical language.
Ni kama Shy ukasema "backend" kuelezea...
Nimeangalia kwa karibu website za media organisations za Tanzania, pattern inayojitokeza ni kwamba pamoja na kuwa na poor editorial content, lakini pia kuna kila dalili za shody designs na dodgy optimisation.
Mathalan, siku hizi feeds ni sehemu muhimu ya website inayofanya regular updates...
mzee njia pekee ni kutumia internet security tools za uhakika, mimi nimejaribu kuifungua address, nikapata warning kuwa ni malicious site. so fix your security issues.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.