Search results

  1. Giro

    LINDI: M/kiti wa CHADEMA na Katibu wa tawi la Nyangamara wahukumiwa miezi 8 bila faini

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi, imemuhukumu kwenda jela miezi nane, Suleiman Mathew ambaye alikuwa mpinzani wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 katika Jimbo la Mtama. Mathew ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Lindi na kiongozi...
  2. Giro

    Waziri Mwijage: Hatutaruhusu wawekezaji wa Mitumba kuanzia sasa hivi

    Tuanze mara ngapi? Viwanda vimeisha anza kwa kasi ya ajabu sana... Hivi watu wanaishi nchi gani jamani...uzalishaji umeisha anza kwa kasi ya ajabu...kwa kasi hii ndio maana Waziri ana jeuri hiyo..Tanzania ya Viwanda i Waziri ana jeuri ya kusema hilo..hivi hamjui kwamba uzalishaji wa nguo...
  3. Giro

    Hivi ni kweli miti hujongea/kuwasiliana na kuna aina fulani ya miti ina miujiza?

    Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji? Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani. Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkuu
  4. Giro

    Mafuruko ya Salam na Pongezi JPM!

  5. Giro

    Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

    Halafu nyingine hii hapa..mbona nguo tofauti joto lilizidi?
  6. Giro

    Waziri Mkuu: Tumieni Misikiti Kuhubiri Misingi Ya Uislamu

    Labda wa umini walimuomba aseme chochote japo kitu na kama kiongozi wa serikali lazima achomekee chochote japo kitu.....
  7. Giro

    Waziri Mkuu: Tumieni Misikiti Kuhubiri Misingi Ya Uislamu

    Hii ina maana PM kweli amethibitisha kauli yake ya kuhamia Dodoma kwa vitendo hafanyi Siasa. Anapokuja Dar analipwa Per Diem?
  8. Giro

    Waziri Mkuu: Tumieni Misikiti Kuhubiri Misingi Ya Uislamu

    Kumbe PM ni muislam safi...kwa wale waliowahi kuhoji iman ya mkuu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Waislamu watumie nyumba za ibada kuhubiri uislamu na misingi yake. Ametoa wito huo jana mchana (Ijumaa, Oktoba 28, 2016) wakati akishiriki sala ya Ijumaa katika msikiti wa Nunge mjini...
  9. Giro

    Mwenye hekima na busara ni yupi

    Rais John Magufuli amemshangaa Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kwa kuidhinisha fedha za matibabu ya mpinzani wake wa kisiasa, Maalim Seif Sharif Hamad wakati alikataa kumpa mkono wa salamu walipokutana kwenye mazishi wiki mbili zilizopita. “Mtu mmekutana kwenye msiba, mahali kwenye...
  10. Giro

    Ikulu yatoa marekebisho kwenye majina ya wakurugenzi wa halmashauri walioteuliwa na rais

    Yetu macho ....Big Show kwa kuwa ujumbe wako wa Eid... Bakwata hawakuufikisha kwa Mzee wa li nchi hii...naona umepigwa tena katika uteuzi huu chalii..vip ame balance au?.....kwani nasikia aliwa promise Bakwata na Watanzania wote kwamba yeye si wa hivyo...hana ubaguzi...sasa sijui uteuzi huu Big...
  11. Giro

    Magufuli alitakiwa kumteua Damus katika safu ya uongozi wake kuongoza nchi hii

    Maswali haya pamoja na mengine mengi, yanavuta hisia zangu kufanya nipende kupitia na kuchambua utabiri wa mnajimu mashuhuri wa Ufaransa, Nostra Damus Utabiri wa Nostra Damus juu ya mambo ya kimataifa ulianzia na nchi yake, Ufaransa. Alitabiri mapinduzi ya Ufaransa ya 1789. Serikali ya...
  12. Giro

    Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro walaani kitendo cha polisi Kuingilia mahafali yao

    Daa...:) coward sisemi...so many yrs back....those days of Apartheid in SA
  13. Giro

    SUMATRA watangaza ongezeko la nauli, kuanza kutumika Tarehe 12 Aprili 2013

    ​ Mi SUMTRA ninge waelewa tu kama wangehakikisha hiyo thamani ya pesa abiria anayotoa inalinganda na huduma abiria anayopata. Abiria awe na uhakika wa kupata usafiri tena apande basi akiwa Comfortable kabisa bila kuwa na wasiwasi wakuibiwa vitu vyake na kupata siti na kufika kwa wakati...
  14. Giro

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hoi, "sijui nasisi tusepe?" "Samir Nasri kisha kamata ndoo,Robin van Persie nae mambo yanamwendea vizuri, ngoja summer nisepe zangu team la kikuda hili, lasivyo itakula kwangu. mwaka wa 8 huu hamna kitu, kazi kupiga piga pasi nyingi lakini vikombe tunaviona kwenye picha tu mambo gani haya".
  15. Giro

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli DAMU nzito kuliko maji. Chali pwaaaa. hahahahahaha;Hivi mara ya mwisho kuchukua kikombe ilikuwa lini vile????
  16. Giro

    Poor Dad Series

    In reality, there is a greater risk in sticking to a job than in minding your own business or putting money in investments.A job can easily be taken away from you anytime. Yes, you can always get a job. But you can't always find financialfreedom. Financial freedom means having the cash flow...
Back
Top Bottom