Search results

  1. Mahebe

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la kwanza katika awamu ya tano yautawala wake Uteuzi huo ni kama ifuatavyo...
  2. Mahebe

    Ben carson ajitosa rasmi urais marekani

    Ni Ben Carson yule daktari Bingwa wa upasuaji , ametangaza rasmi kukitaka kiti cha urais kupitia Republican.
  3. Mahebe

    Magufuli akagua barabara km 359 na ujenzi nyumba ya mkuu wa Wilaya ya Mlele

    Magufuli na Msafara wa wataalarm kutoka Wizara ya Ujenzi anatembelea barabara ya changarawe kutoka Mpanda kwenda Tabora yenye urefu wa kilomita 359 kwa gari. Pia amekagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya mkuu wa Wilaya ya Mlele katika mji mdogo wa Inyonga Mkoani Katavi. Msafara wa Dk.Magufuli...
  4. Mahebe

    Dr. Magufuli afunika Tunduma, aitwa jembe

    Leo Magufuli akiwa ziarani amelazimika kushuka katika mji mdogo wa Tunduma wananchi waliziba barabara na kuanza kuimba Jembe Jembe!! Ni vigumu sana kwa mwanasiasa kutoka CCM kuhutubia katika mji mdogo wa Tunduma na akakubalika.
  5. Mahebe

    Waziri Magufuli atangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu-Somanga (km 60)

    Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu- Somanga (Km 60) na kuwataka wakazi wa mikoa ya kusini kuitumia vizuri barabara hiyo kuibua fursa za kiuchumi na hivyo kujiletea maendeleo. Dkt. Magufuli alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam mara...
  6. Mahebe

    Kivuko kipya MV Dar es Salaam chakamilika kujengwa na kampuni kutoka Denmark

    Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa na...
  7. Mahebe

    Dk Magufuli aapa kufa na makandarasi

    "Adai kamwe hatakuwa tayari kufukuzwa kazi kutokana na uzembe wanaoufanya" Namtumbo. Waziri wa ujenzi, Dk John Magufuli ametoa onyo kwa makandalasi wabovu wanaojenga barabara chini ya kiwango kuwa kamwe hatakuwa tayari kufukuzwa kazi na Rais Jakaya Kikwete kutokana na uzembe wao, bali...
  8. Mahebe

    JK Ampa Rungu Magufuli

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (aliyeshika mkasi) akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Bwanga – Biharamulo. Kushoto kwa Rais ni Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John P. Magufuli na kulia kwa Rais ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Alhaj Eng...
  9. Mahebe

    Dr.magufuli vs zitto kabwe sakata la tsh 252 bilioni

    Napata shida na hoja ya Mh.Zitto kuhusu upotevu wa hela anaodai wizara ya Ujenzi wamekula, anahoji fungu zima bila kuainisha ni miradi ipi(aitaje kwa majina) iliombewa fedha hizo special na kupitishwa na bunge. Nasema hivyo itakuwa sasa ni vyema wizara ikaulizwa kama miradi hiyo haikuwekewa...
  10. Mahebe

    Wafilipino kuwekeza tanzania kwenye barabara kwa njia ya PPP wataweza kweli?

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimeweza kupata habari ambapo Dr.Magufuli alikuwa kati ya waliohudhulia Davos (Economic Forum) kule Uswis akiwasilisha changamoto na uhusishwaji wa sekat binafsi katika kundeleza miundombinu ya barabara nchini Tanzania. Zifuatazo ni kati ya picha za Rais wa...
  11. Mahebe

    Raila Odinga atua Dar es salaam kumtembelea Magufuli kwa kificho kikali

    Wana JF katika kuonyesha Dr.Magufuli na Odinga lao ni moja kwa taarifa nilizozinyaka na ni za uhakika ni kuwa Mh. Raila Odinga yupo Tanzania kumtembelea rafiki yake kipenzi Mh.Dr John P.Magufuli ambapo nimebahatika kupata baadhi ya picha kama mtakavyoziona hapo chini.Na inavyoonyesha ziara hii...
  12. Mahebe

    Dr. John Pombe Magufuli & Morgan Tsvangirai Wahudhuria Uzinduzi Kampeni za ODM Kenya

    Wana JF habari za uhakikia nilizozipata hivi punde ni kuwa Waziri wa Ujenzi kutoka Tanzania Mh Dr.John Magufuli na Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai wamekaribishwa na Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga kuhudhulia uzinduzi wa Kampeni uchaguzi mkuu wa Kenya utakaofanyika mwanzoni mwa mwaka...
  13. Mahebe

    iPhone 4 Inauzwa

    Wakuu nauza iPhone 4 (16GB) niliinunua mwanzoni mwa mwaka 2011 ipo ktk hali nzuri. Bei: ths 600,000/- Mahali nilipo: ADA Estate, Dsm Contact : l_bahebe@yahoo.co.uk KARIBU!!
Back
Top Bottom