Search results

  1. J

    Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

    Jamani, nani kamuona JK mwanza, this is very serious time. sio vizuri kuweka habari zisizo na uhakika. Kama huna cha kuandika just sit down and relax. Msilete utani, we want real news hapa. watu wapo mbali na Tanzania wanategemea hii forum kupata habari, then mtu unajiandikia tu kama ms............
  2. J

    Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

    Na nafasi nzuri kwa Selelii kwenda upinzani kwani hana nafasi CCM kutokana na misimamo yake. Aende Chadema kuleta mapinduzi ya kweli kwenye siasa za TZ
  3. J

    Wanaume wahuni na mapenzi

    Kufanya mapenzi ni kama fani nyingine tu ya michezo, Huwezi kucheza na partner hasiyejua mchezo then mchezo ukanoga. Sasa wale wahuni uonekana wanajua kutokana na muonekano na kujiexpress kwao, na aibu huwa hwana sana. Wenzangu na mie madisent, wapole, watulivu unaonekana hujui kitu.
  4. J

    Kikwete unatia aibu sasa

    Lakini na sisi tuna matatizo, Tumshutumu rais kwa yale yanayostahili na sio majungu tu.Kufanyia Party,unyago, harusi hata kitchen party ikulu kuna ubaya gani? huyu ni mwanae na hapo ndio baba yake anapoishi kwa sasa?? nyie hamjawahi kufanya Party kwa wazazi wenu, iwe birthday au hata harusi...
  5. J

    Hashim Thabeet

    duh,sasa umeandika kitu gani, au bado unasinzia?
  6. J

    UFISADI uliokithiri HAZINA

    the whole issue hapa haijakaa vizuri
  7. J

    Yuko wapi James Nhende??

    Huyu James Nhende yupo Mwanza, anapatikana sana maeneo ya Salma Cone, Sizzler restaurant , Mwanza Hotel. Ana gazeti lake binafsi hapo Mwanza sina uhakika na jina la Gazeti. Kiufupi yupo mjini mwanza ukimuulizia unampata.
  8. J

    Rubani wa airzahra afoji miaka ya kuzaliwa

    Hili ni la kupongezwa sana, safety is paramount in aviation.
  9. J

    Mohamed Mpakanjia is no more!

    Mungu Ailaze roho ya marehemu mahali pema, ameen.
  10. J

    Mishahara ya wabunge, mawaziri na majaji juu!

    Wananchi ndio waamuzi, siku tukisema sasa basi, yote yatawezekana. Lakini tukibaki kuangalia tu, watafanya watakavyo.
  11. J

    Mattaka aaga rasmi ATCL

    Natumai unamzungumzia Dumisani Sangweni, yule aliteuliwa na Board ya kipindi kile ambayo South African Airways ndio ilikuwa na nguvu, kwani hata mamlaka mazima ya kuendesha kampuni yalikuwa chini ya SAA ingawa serikali yetu ilikuwa na majority Share 51% to 49% za SAA. The guy yupo kwao South...
  12. J

    Us Green Card Lottery

    Ukishinda haulipiwi safari, kwa hiyo safari na taratibu zote gharama ni juu yako. Wakati unajza form yao ya kucheza inabidi uweke jina la mke au mme kama unaye, kwa watoto ni wale under 21 na wengine wanaokutegemea kisheria na wawe chini ya 21. ukishinda, ni lazima uonyeshe kule marekani nani...
  13. J

    Us Green Card Lottery

    Mi nadhani sababu ni moja tu, kwamba sio wa tz wengi wamekuwa wanacheza hii Lottery. ndio maana namba yetu ya washindi sio nzuri. na hii imesababishwa na mambo mengi, 1. Upatikanji wa taarifa ya kwamba lini inachezwa, 2. mbili ni huko kutishana ya kwamba ni lazima upite kwa agent na umlipe usd...
  14. J

    April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Hivi kweli hamna mwenye taarifa kamili na hili.
  15. J

    Athumani Idd'Chuji' na Haruna Moshi'Boban' kujitoa stars

    Kama hao kina Boban amewaacha kwa suala la nidhamu, 100% nampongeza maximo. akaze uzi tu tutafika. kutufikisha kwenye hayo mashindano tu ambayo miaka 29 tulikuwa hatuwezi ni jambo kubwa sana. Makocha wetu( Kibaden, Mziray etc) na kubembelezana na wachezaji wasio na nidhamu ndio hao...
  16. J

    Rehema Mwakangale hayupo nasi

    Mungu amlaze mahali pema.
  17. J

    General Tyre: Is it a slow death to a once an East Africa Giant??

    Lakini nadhani kwa mtindo huu wa kuibua hizi kashfa zinazousiana na mali ya umma tutafika mahali mambo yatakaa sawa. Kwani ni mali zetu na hela zetu, unapoona jambo lolote linalohusiana na matumizi mabaya ya mali ya umma, ufujaji, wizi ni vizuri tukapiga kelele. kwa umoja wetu tutasikikika tu...
Back
Top Bottom