Search results

  1. mij

    Huyu naye anajua kusoma kweli?

    Wakuu huyu naye ana sifa za kuwa kiongozi? Angalia hii clip jinsi anavyojikanyaga kusoma kiapo cha madiwani.
  2. mij

    Maneno mapya ndani ya mmu yamkosha wife na kunogesha penzi

    Natoa shukrani kwa ubunifu wenu wanajamii ndani ya MMU, kwani tangu nijiunge na JF kuna maneno mapya yafuatayo nimeongeza katika misamiati niliyonayo. Aidha maneno hayo yanamkosha sana wife kwa jinsi yaivyokaa kichokozi lakini yanaleta hamasa na burudani. 1. Kugegeda 2. Gegedu(mgegedaji) 3...
  3. mij

    Hii ikoje wana jf???

    A dress that zips up the back will bring a husband and wife together. By: James H. Boren Hii imekaaje???
  4. mij

    Swali: Kwa nini sehemu ya kutolea haja kubwa inaitwa tigo?

    Naomba nifahamishwe kwa nini sehemu ya kutolea haja kubwa(kinyesi) inaitwa tigo. Kuna uhusiano gani mpaka ikaitwa tigo? Wajuzi naomba mnijuze!!!
  5. mij

    Hizi ni shule zetu za Tanzania

    TAFAKARI KWA MAKINI Hawa ni wanafunzi wa shule mojawapo ya msingi hapa nchini Tanzania. Wanafunzi wamekaa sakafuni, je kwa mazingira haya tutafika kweli? Je watoto wetu watapenda kwenda shule kama mambo yenyewe ni haya?
  6. mij

    Mambo ya Kuzingatia katika Uchumba

    Kuna mambo mengi hutokea katika kipindi cha uchumba kwa hivyo ni bora tujulisahane. Si kwamba nayafahamu yote ila ninaanzisha mada naomba wanajamii tujadili ili kusaidiana pale mambo yanapokwenda kombo. SASA NAANZISHA: 1. Uchumba si mkataba wa kudumu, hivyo unaweza kuvunjika muda wowote. 2...
  7. mij

    Ni uchafu na hatari kunyonya uume usiotahiriwa

    Jana nilisoma kwenye mtandao fulani wasichana wamekuwa wakipata magonjwa ya fangasi na mengineyo kwa sababu ya kunyonya UUME usiotahiriwa Wakitoa shuhuda zao, wengine wamedai wakimaliza kusex hubaki na harufu mbaya sana inayosababishwa na GOVI (uncircumcised penis), na baadhi wamepata...
  8. mij

    Wanaume waoaji wapo wengi akina dada hawajagundua siri!!!!!

    Nimekutana na wanaume wengi wakilalamika kuwa akina dada siku hizi wanaendekeza sana pesa hivyo wanapata shida kupata wenza kfunga nao pingu za maisha. Yafuatayo ni makosa ambayo akina dada huyafanya wakati wakiwa katika mahusiano au uchumba na hivyo kukimbiwa na wanaume: Kupenda kupiga...
Back
Top Bottom