Huyu naye anajua kusoma kweli?

mij

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
1,993
2,115
Wakuu huyu naye ana sifa za kuwa kiongozi? Angalia hii clip jinsi anavyojikanyaga kusoma kiapo cha madiwani.
 

Attachments

  • Sifa ni kujua kusoma na kuandika.mp4
    2.3 MB · Views: 31
Wakuu huyu naye ana sifa za kuwa kiongozi? Angalia hii clip jinsi anavyojikanyaga kusoma kiapo cha madiwani.
Tume ya kurekebisha katiba waliliona hili na kupendekeza level fulani ya mtu kgombea nafasi katika serikali.
Yaani udiwani RC DC mbunge lazima wawe wamesoma kiwango fulani , na dhani walipendekza Form 6.

lakini wabunge wa CCM ndio walopinga hili.
twendeni hivyo hivyo
 
Hao ndio wanao takiwa ili wasiweze kuhoji lolote zaidi ya kuitikia tu ndiooo...
 
Huyo atakuwa anazikimbia B.O.Q na mikataba ya Kingereza kwa Speed ya Nyumbu.
 
Back
Top Bottom