Search results

  1. Ablessed

    Niendelee na ustaarabu au nitumie nguvu?

    Masikini hata hujiulizi kama mzima au mgonjwa. Daah hii dunia bana acha tuu
  2. Ablessed

    Peter (P-Square) amtusi Diamond "stupid"

    Bro nami nimefurahi kurudi mjengoni hopefully you are doing well
  3. Ablessed

    Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Kweli kabisa tena amekiri kuwa yeye Diamond alikua akihangaika na mahusiano mengine lkn mdada alitulia. Lkn hii statement ya kwamba Zari alimpenda kuliko yeye alivyompenda nahisi ni defence tu. Fact ni kwamba wote wameachana haijalishi nani alianza kumuacha mwenzake maana naona kijana anaifanya...
  4. Ablessed

    Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    Mjinga sana huyu kijana
  5. Ablessed

    BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

    Duuh masikini dada wa watu. Inasikitisha kuona jinsi wadada wanavyofurahia maumivu ya mwenzao na kumsifia playboy mmmhh bado tuna safari ndefu. Kijana anachezea wadada atakavyo hadi inatia kinyaa
  6. Ablessed

    JamiiForums Legends of ALL Time

    Kiwatengu legendary barikiwa
  7. Ablessed

    Naombeni ushauri wenu, nataka kujiunga na siasa

    Jiunge CUF ya Pro Lipumba au ACT. Mkuu huu ndio ushauri wangu
  8. Ablessed

    Kama wanawake wanajiremba kwa ajili yetu wanaume kwanini mnatukataa tukiwatongoza?

    Hahaha wote hamkujitambua au hujitambui kulingana na hii post yako.
  9. Ablessed

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Huu wimbo naupenda sana aisee . Na kuna muimbaji mwingine anaitwa kim walker smith daaah nyimbo zake zoote nazipenda kama 10000 reasons...., i need you more ...
  10. Ablessed

    Huyo mtu aliyekuwa anasubiri SHILAWADU ni nani?

    Hahaha tatizo letu huwa hatuna uwezo wa kusimamia tunachokisema. Vivyo hivyo hao uliomention hapo juu nachelea kuamini kama wanamaanisha wasemacho. Rudi kwenye ile issue ya katiba
  11. Ablessed

    Mjumbe wa NEC ya CCM: Nimekuwa kimya kwa muda mrefu sana juu ya rafiki yangu Paul Makonda

    Mkuu 2020 itafika na hapatakua na mabadiriko tunayofikiri sababu hatuna tume huru ya uchaguzi. Tatizo sio wapiga kura mbaya wetu ni tume ya uchaguzi
  12. Ablessed

    Huyo mtu aliyekuwa anasubiri SHILAWADU ni nani?

    Kwa bahati mbaya wao wanaamini kuwa wanayo hati miliki ya kutawala na wengine hawana haki ya kufanya hivyo. Maendeleo yatachukua muda mrefu sana kuyafikia
  13. Ablessed

    Huyo mtu aliyekuwa anasubiri SHILAWADU ni nani?

    Mkuu kubadili katiba ni kujimaliza hawawezi kufanya kosa hilo hasa kipindi hiki. Kumbuka madaraka matamu
  14. Ablessed

    Huyo mtu aliyekuwa anasubiri SHILAWADU ni nani?

    Hahaha huyo hata waanike nini hatojitumbua aisee
  15. Ablessed

    Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    Kama kweli madai haya basi walee mtoto wao. Sisi hayatuhusu BASHITE leta vyetiii period
  16. Ablessed

    Je Waziri Mwakyembe anastahili kuwa kielelezo bora cha PhD za hovyo hovyo?

    Mkuu nafikiri ungeweka na yule mwingine mwenye phd ili tujifikirishe na kutoa majibu
  17. Ablessed

    Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Nafikiri hiyo 2020 wataamua kutangaza tuu bila hata kuhesabu kura.
  18. Ablessed

    Mahakama Kuu Tanzania imekataa kusimamisha Uchaguzi TLS

    Mkuu kwa tafsiri isiyo rasmi inaonyesha mbunge huyu alikaa kizuizini kwa amri toka mamlaka kubwa
  19. Ablessed

    MWAKYEMBE ANATAKA CCM ISHINDE URAIS WA TLS

    Kweli kabisa mkuu
Back
Top Bottom