Usimaindi mbona hizo ni issue za kawaida.unajua kuna 'milupo'na mademu angekuwa mlupo hakika hii story isingekuwepo kwa kuwa ungesha win long time! Ni kwa sababu huyo ni demu ndio maana amekuwa na nyodo baada ya kujishebedua kwa muda mrefu! Ndio kawaida yao wala hujakosea kumuapproarch baada ya...
Mbona elimu ya Form IV hiyo. Madhara ya mategu
If it is true that Taenia solium sp cause epilepsy, no body can stay safe! Probably vergetalian due to the facts that,tapeworms species are found in many vertebrates such as mammals like goat,ship,cow,PIGS,rabbits and other herbivorus.birds...
Unaposema ana brain smart una maana gani? Maana kuna vichwa ambavyo pengine visingezaliwa sijui dunia hii ingekuwaje for instance Michael Faraday,SIR ISSACK NEWTON, Nelson Mandela na wengine wengiiii! Sasa huyu kijana ana lipi jipya zaidi ya kusugua kucha barber shop? Acha hizo bro!
Hii ndio Tanzania tunayoitaka! kila idara ni balaa tupu,hakuna jipya kumbuka ni fani hiyo hiyo pale walipo ishangaza dunia kwa kufanya operation ya kichwa badala ya mguu and vice versa! Sembuse vyeti feki.
Nikiwa maeneo ya soko la shayo nashangaa kuona lundo la vitanda vilivyo tengenezwa kwa miti kama vichanja,namuuliza muuzaji bei gani kitanda kimoja nchi 5 kwa 6 bei ni elfu 8000/=tsh! Du leka tutigite! Jamaa anatafuta mtu wakala maeneo mbalimbali! Nchini Contact +2557857733755
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.