Search results

  1. Kyodowe

    Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Ukisema aliyevuruga ni Kikwete unamuonea bure. Aliyevuruga ni mtangulizi wake kwa zile tumbua tumbua zake na kuanza kuweka wateule wasiokuwa na sifa
  2. Kyodowe

    Kunambi: Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe Wanasiasa, wapatikane kwa mchakato wa ajira

    Yaani nchi hii mnaenda hatua moja mbele mnarudi mbili nyuma. Alianza kuharibu yulee na wakawa wanampigia makofi, na sasa wameona mziki wake. Mambo hayaendi
  3. Kyodowe

    Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Mpina leo kaongea point. Huu mtindo wa kila teuzi afanye Rais ni ushamba. Dunia ilishatoka huko
  4. Kyodowe

    Matumizi ya "CPA" kwenye initial za majina ni sahihi?

    Hayo yote ni kutaka kuficha udhaifu plus ujambazi wa watu kwenye mfumo wa taaluma. Mambo ya kinigeria haya
  5. Kyodowe

    Video ikimuonesha bosi wa Hamas Ismael Haniyeh alipopokea kwa mara ya kwanza taarifa ya vifo vya vijana wake na vijukuu

    Naona huyu mzee ana uzalendo mkubwa na imani pia. Hakatishwi tamaa na mauti
  6. Kyodowe

    Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

    Umeongea ukweli mkuu. Waziri wa fedha ni cheo kikubwa sana. Ila huyu toka apewe hiki cheo ni mwendo wa kuzurura tu na kumpamba mama. Hajawahi kuleta jipya na wala tusitarajie cha maana kutoka kwake. Hopeless
  7. Kyodowe

    Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

    Stori za vijiweni zinageuka kuwa habari!
  8. Kyodowe

    Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    Si uzungumze home achana na midoli. Huu uchawa wako dhidi ya Israel hauna tofauti na wa CCM
  9. Kyodowe

    Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    Kimya kingi kina kishindo. Usimdharau usiyemzaa. Israel bila msaada wa Marekani na washirika wake ni mwepesi sana. Jambo usilolijua ni historia ndefu ya mashariki ya kati hususan waajemi. Hawa jamaa kihistoria hata wakiishiwa bunduki hupigana kwa kutumia mawe na mapanga. Ukitaka kujua...
  10. Kyodowe

    Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Wagalatia wa bongo au wa Ugiriki
  11. Kyodowe

    Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

    Hii ni mikakati iliyopangwa siku nyingi. Wanaomuunga mkono Israel wanajua kwamba nchi zinazozunguka Israel hazizungumzi lugha moja. Wamefanikiwa kuwagawa waarabu na waislamu. Hivyo ni wakati mzuri kwa Israel kuwaangamiza maadui zake
  12. Kyodowe

    Nchi za Afrika zinazotembelewa na watalii kwa wingi

    Hizi takwimu zina walakini. Yaani Eswatin inaizidi Botswana? Hata ingeizidi Zanzibar tu zingekuwa za uongo
  13. Kyodowe

    Maajabu atakayofanya Makonda Arusha

    Msituchoshe na DAB, tuacheni
  14. Kyodowe

    Tatizo la umeme halitakuja liishe

    Pamoja na haya uliyosema ila tutakapofikia hatua ya kutenga siasa na taaluma tutafika mbali sana. Mathalan mtu akitaka kuwa mkurugenzi wa Tanesco sharti ateuliwe na Rais. Hii si sawa hata kidogo. Tukitaka kupata viongozi wenye sifa sharti waombe kazi, wafanyiwe usaili na wachujwe kwa sifa zao na...
Back
Top Bottom