Search results

  1. M

    Mwigulu Nchemba, hii bado ni dhuluma

    Haijalishi kuwa mmekusanya bilioni 48 kwa mwezi! Hii ni dhuluma kwa mwananchi wa kawaida. Natuma elfu kumi. Nakatwa VAT na tozo. Pesa ile ambayo namtumia mama yangu kijijini naye anakatwa tozo hata kabla pesa ile hajaishika. Pesa ile haijamzalishia mama yangu faida yoyote. Mnamtoza nini? Ni mimi...
  2. M

    Viongozi wa dini hamjashtuka bado suala la usajili wa miaka mitano?

    Kwamba tangazo limetoka kuwa mrudishe vyeti vya usajili vya kudumu mpewe vya miaka mitano mitano! Hamjashtuka bado? Mpo usingizini bado? Mkiamka mtakuta mmefutwa. Serikali inaona njia rahisi ya kufuta usajili wa Kanisa kama la Gwajima na makanisa yale wasiyotataka ni hiyo. Waliwahi kutishia...
  3. M

    Naona Wapinzani watakavyolia

    Kweli Mnaingia kwenye uchaguzi bila Tume huru ya Uchaguzi? Kweli! Mnaingia na Tume iliyoteuliwa na mmoja wa wagombea! Mnawezaje hata kuwaza kuwa mtashinda? Nawasikia mkisema mtashinda kwa nguvu ya umma! Umma upi? Ulioandaliwaje? Mnadharau hata kauli ya wazi ya Katibu mkuu wa ccm kuwa wao...
  4. M

    Akili yangu yazidi kufunguka kuhusu Zanzibar

    Nikitafakari yaliyojiri Zanzibar katika uchaguzi uliopita na hasa nilipomsikiliza Maalim Sefu leo, aazidi kuzielewa kauli za Bulembo na Nape. Bulembo alisema, "Kuna jambo moja ambalo kamwe CCM hatuwezi kulifanya. Nalo ni kuruhusu Wapinzani kuingia Ikulu!" Haiwezekani CUF kuingia Ikulu hata kama...
  5. M

    Hili la vituo hewa limekaaje?

    Zaidi ya mara moja nimemsikia Babu Duni mgombea mwenza wa UKAWA akisema kuna vituo hewa na wagombea zaidi ya milioni tisa wameongezwa na Tume ya uchaguzi. Mara ya mwisho nilimsikia jana katika mkutano wa Lowassa wa Mwanza. Hoja yake ni kwamba Tume inasema imeongeza vituo vya kupigia kura...
  6. M

    Sisi ni waumini wa demokrasia kweli?

    Demokrasia inataka haki, usawa na uhuru wakati wa kujiandikisha katika daftari la mpiga kura. Nashukuru kuwa hapa Dar, waliandikishwa asilimia kubwa. Maeneo mengi mengine muda ulikuwa hautoshi na wengi walikosa haki yao yakuandikishwa hivyo hawatapiga kura. Demokrasia inataka haki, uhuru na...
  7. M

    Uteuzi wa wajumbe katiba mpya: Afadhali mganga wa kienyeji kuliko mpentekoste?

    Nimeshangazwa na maelezo kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anaingia ktk bunge la Katiba kuwakilisha Waganga wa kienyeji na kuwasemea huko. Lakini pia wiki hii Maaskofu na Wachungaji waandamizi wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (PCT) walifanya kikao na kulalamika kuwa walipeleka majina yao katika...
  8. M

    Swali muhimu na la kizushi kwa wanachadema

    Je,Unapenda Dr. Slaa agombee uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) au agombee uraisi wa Tanzania bara (Tanganyika)? Kama ni Tanganyika, nani unadhani anafaa kugombea uraisi Muungano kwa tiketi ya CDM? Kama ni muungano nani anafaa kugombea Tanganyika kwa toketi ya CDM?
Back
Top Bottom