Nikitafakari yaliyojiri Zanzibar katika uchaguzi uliopita na hasa nilipomsikiliza Maalim Sefu leo, aazidi kuzielewa kauli za Bulembo na Nape.
Bulembo alisema, "Kuna jambo moja ambalo kamwe CCM hatuwezi kulifanya. Nalo ni kuruhusu Wapinzani kuingia Ikulu!" Haiwezekani CUF kuingia Ikulu hata kama wamechaguliwa na wengi!
Nape yeye alisema, "Lazima CCM itashinda hata kwa goli la mkono!" Maana yake lazima uchaguzi Zanzibar urudiwe kwa sababu ni lazima CCM itangazwe mshindi kwa udi ama kwa uvumba!!
Si Chadema wala Lowasa anayeweza kushinda uchaguzi katika nchi hii! Kamwe hata mkichaguliwa na waliowengi Ikulu mtaisikia tu.
Hamruhusiwi kutinga humo! Sielewi kwa nini hamkuamini kauli hizo za viongozi waandamizi wa CCM.
Tume ya uchaguzi ni yao na wanaiamuru kutangaza wanachopenda wao. Hivi wapinzani kwa mazingira haya mtathubutu kuingia katika uchaguzi wowote wakati ujao?
Kama sheria hazibadilishwi ni kupoteza muda na fedha!!

Last edited by a moderator: