Search results

  1. K

    Waziri SMZ apinga Muungano wa serikali mbili

    Wapewe nchi labda watakula bata,kwanza nchi yao ndogo wakiamua kuijenga wanaweza
  2. K

    Tanzania imekubali kutoa mafunzo kwa askari wa Somalia

    Acha waje alshabab sie tuondoke na madini bila kulipa hata hiyo 00.01% ya kodi
  3. K

    MSAADA: Kwa waislam tu

    Hiyo aya ilikuja kwasababu maalum na iliwahusu watu wa wakati huo wakati uislam bado mchanga na baadae ilikuja aya ya kuharamisha kabisa pombe
  4. K

    Nani kaiba 200b zetu za IPTL na esc- tuandamane kwenda Ikulu kushinikiza uchunguzi

    100% yes ila wa Tz hatuwezi,nchi kama Msumbiji walipandishiwa bei ya mkate tu kilinuka,wa Tz ni sawa na nyoka wa kijani.
  5. K

    Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    Acha apewe utakatifu hautomsaidia lolote huko aliko na mkong'oto uko palepale
  6. K

    Mhe. Masele: Kiongozi Kijana TZ asiyeogopa lolote (CV Attached)

    Watajiju,acha nihangaike na maisha yangu kula yangu shida na nimemzidi masele kielimu na ki cv
  7. K

    Adam Malima ni 'mbumbumbu?'

    Tuondoe wote,tuweke wapya nyambafu
  8. K

    Hatimaye tbc1 warusha habari za CHADEMA

    TBC ni tawi dogo la ccm na ndio tawi linalotoa wakuu wa wilaya wengi
  9. K

    Kuvuliwa uongozi kwa Zitto: CHADEMA Mmejipangaje kuepuka propaganda za UDINI na Ukanda dhidi yenu?

    Piga chini wote,nichagueni mm mgombea binafsi na serikali yangu itakuwa ni ya wa2 clean kbs.mimi oyeee!
  10. K

    save the children

    Fanya kazi ww
  11. K

    Serikali yatangaza kima kipya cha chini cha mishahara - Kuanzia Julai mosi, 2013

    Vp kuhusu kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa serikali?wameongeza asilimia ngapi?
  12. K

    Kupanga nyumba mzima katikati ya mji wa Morogoro ni pesa ngapi?

    Ningependa kujua kupanga nyumba mzima katikati ya mji wa Moro ni bei gani kama ni nyumba ya chumba 3(self container). Na milango ya biashara nayo ni bei gani kwa mwezi?
  13. K

    Msaada: Jamani hela yangu inapotea

    Usiwe na wasiasi,usipige cm NMB nenda mwenyewe face2face watakusaidia,pesa yako ipo haiwezi kupotea
  14. K

    Msaada: Nina mtaji wa 2m/= nifanye biashara gani

    Nunua pikipiki ukodishe au anzisha game za watoto
  15. K

    Uwanja wa hekari 3 unauzwa songea

    Jamani hekari tatu si eneo dogo,maana yake kuna viwanja vya robo heka 12.leo utanunua 30mil mwakani utauza 50mil
Back
Top Bottom