Search results

  1. Home First

    Siyo kweli kwamba wanawake tunapenda sana pesa, hatupendi umasikini

    Mwanamke anayezungumzia pesa, pesa huyo hata ukimuoa ukiwa na pesa wakati zikitoweka atatafuta chaka lingine lenye pesa. Kufupisha mambo yasiwe mengi mwanamke huyo hafai maishani hao ndo wanaofanya wanaume kuwa matapeli na majizi ili mke aridhike.
  2. Home First

    Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Pumzika tu usiende lakini sababu ya moja kwa moja ambayo inakuhusu ili usiende sijaielewa hapa maana umejumuisha tu.
  3. Home First

    Jinsi mwanamke anayejiuza alivyogeuka kuwa wife material

    Nitaendelea kusoma baadae kidogo
  4. Home First

    Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

    Pole sana mkuu, hapa nakumbuka maneno ya mdogo wangu kwamba mwanamke hapewi pesa ili atunze bali huachiwa matumizi ya siku(kodi ya meza).
  5. Home First

    Ameniomba elfu 50, nimemwambia nimchakate miezi miwili ndipo nimkabidhi

    Haya furahia maisha lakini haina Baraka hiyo pesa na nadhani kama huyo mwanamke naye hana shida na hiyo pesa isipokua ameona njia ya kukupata ni hiyo sasa sijui nani ni nani hapo.
  6. Home First

    Hii kwako unaichukuliaje?

    Zingatia maandiko ukiona unaumia au utaumia basi usimruhusu kuolewa, mbona rahisi tu hiyo na ukubali kulea wajukuu hapo kwako.
  7. Home First

    Yuko Bafuni Muda huu...

    Nina mashaka na hii picha
  8. Home First

    Sijawahi kuona mke akitoa siri za mumewe kuwa ana show mbovu au kibamia

    Naona kabisa swala la haki sawa unalizingatia,,, msalimie shemela.
  9. Home First

    Miaka 24 ya Daniel Arap Moi madarakani bila mke

    Of course the man was real LUO.
Back
Top Bottom