Search results

  1. Mboka Manyema

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Mkuu nimekubali, Hata mimi unanijua!!!
  2. Mboka Manyema

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nawakumbuka members kama Pundit, Game theory, Fundi mchudo, nyani ngabu I joined Jf 2008 been as guest since 2007 Big up saana JF
  3. Mboka Manyema

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    Maneno aliyosema gwajima ni uchochezi wa kidini full stop. Huhitaji elimu kugundua hilo, hata angekua sheikh ndio kaota na kuhadithia ndoto yake kwamba makanisa yote yatageuka madrasa pia ni uchochezi wa kidini wa hali ya juu. Lazima akemewe na wapenda amani, umoja na utulivu wa nchi hii...
  4. Mboka Manyema

    Maimamu na Masheikh wa DSM waijibu Taasisi ya Imamu Bukhar-Foundation

    Najash alisema misikiti yote igeuzwe Sunday school halafu akasifiwa na mtume? Au aliwahi kuukashif uislamu kwa njia yoyote ile?
  5. Mboka Manyema

    Kumbe wazaramo wamelowea

    Kamba😂😂😂
  6. Mboka Manyema

    Msaada: Bei na mahali inapopatikana mizani ya digital kwa hapa DSM

    Sahel Trading Co. Ltd Morogoro road / jamhuri street For more info. Sahel Trading Co. ltd - Introduction Utapata mizani unayohitaji.
  7. Mboka Manyema

    Bongo Lounge in Guangzhou, China

    Sisi wataalam wa china, pale Guangzhou tunakula chakula cha kibongo long time😂😂 Ukiingia kwa dada Kulwa pale tinxiu building ugali na vikorombwezo vyote vinapatikana muda wote na kama msosi umeisha basi unapikiwa.
  8. Mboka Manyema

    PICHA: Silaha alizokamatwa nazo Mansoor

    Nafikiri haujajua tatizo linaanzia wapi, sio kila kitu unaleta siasa na chuki zisizo na tija. Ni vizuri comment as a great thinker ili wadau wafaidike na ndio "MOTO" ya JF au kaa kimya sikiliza wajuzi. Anyway turudi kwenye mada, Mr Mansoor anaruhusiwa kisheria kumiliki silaha za aina hiyo na...
  9. Mboka Manyema

    Wasomali walifikaje Tabora?

    Naomba nitajie familia 5 za wasomali wanaoishi Tabora kwa sasa, Sio kweli wasomali ni wengi tabora! Nadhani huijui vizuri Tabora na labda nikusaidie kutaja kuna family moja ipo mtaa wa ngoma sakasi halafu nyingine ipo pembeni ya msikiti wa manyema ingine pale rufita ya kina rage. Family ya...
  10. Mboka Manyema

    Kwa wale wazaliwa wa Tabora nawale waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Ndugu zangu, nimekumbuka mambo mengi saana kupitia uzi huu. Hebu niulize kuna mtu anamkumbuka power chuma? Haaa haaaaa
  11. Mboka Manyema

    nipewe....

    Baada ya kutafakari saana nimepata jibu, mnunulie charahani ya umeme tatizo litakwisha. si unajua ile charahani ya kawaida miguu inakua inacheza speed muda wote hapo inatengeneza friction kwenye papuchi basi kutwa nzima anapiga mabao ile mbaya ndio maana hana hamu kabisa haa haa haaaa.
  12. Mboka Manyema

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    Habari, Maneno uliyoyaleta hapa JF ni ya uongo, Mpaka sasa hakuna duka la MCHINA kitumbini linalouza bidhaa za dukani kwa jumla au hata kwa rejareja na halijawahi kuwepo kabla. kulikua na duka la mchina anauza used computer mtaa wa Libya opp Oilcom ambalo hivi sasa limefungwa na lingine lipo...
  13. Mboka Manyema

    Wawili wauawa Arusha

    [COLOR="#000000"][/COLOR Habari Kaka, Naona unaihusisha CCM na msururu wa vifo vinavyotokea Arusha lakini unasahau kwamba kila kifo kimetokea kwa namna tofauti kwa mfano kuna ambaye amepata ajali ya ndege na mwingine ameanguka kutoka gorofani nje ya nchi. Hawa waliofariki leo sio wafadhili wa...
  14. Mboka Manyema

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Nahisi tumepishana miaka kati yangu mimi na wewe maana hao uliowataja hata mimi siwajui kama ilvyo wewe humjui Patel, Alikuwepo Uyui sec as head master kama sikosei mpaka early 90s
  15. Mboka Manyema

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Dahhh Kumbe Steve alifariki!!! R.I.P Bro Nani anamkumbuka power chuma? Kuna mtu anaijua REMEMBER MEMBER Uyui sec? Huyu Sheikh Ilunga alikua mchezaji mzuri wa basket, Kuna mtu anakumbuka? R.I.P Major. R.I.P Mzee Kassimu muuza kahawa wa diamond. R.I.P Issa Kibira. Nani anamkumbuka Chande mwehu...
  16. Mboka Manyema

    UN yasisitiza Tanzania kuhusika nchini Congo

    Hii habari ya hawa M23 kuionya Tanzania hainitishi sana kama hii ya wanajeshi wetu kushirikiana na wanajeshi wa Malawi kuunda hicho kikosi! tukizingatia mgogoro wetu na Malawi kuhusu Lake Nyasa. Itakuwa ndio wanasomana mbinu na uwezo wa kijeshi au labda wanaweza hata kupigana ha ha haaa. I think...
  17. Mboka Manyema

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Kweli mimi mwenyeji pale lakini wewe nakupa salute, kuna watu umenitajia mwenyewe nimechoka mfano Adam gosho,Makamba jeki haa haaa haaaa...katika wachezaji usimsahau wastara bari bari. kuna mtu alikua anaitwa albanda wiii kwa kula huyu jamaa hata makamba jeki anasubiri. Ahh Uyui Sec nakumbuka...
  18. Mboka Manyema

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    haa haaa haaa, leo napata story za long time. Katika vichaa wa Tabora MALINGUMU ndio mkurugenzi wao. Hajawahi kutokea mchezaji mkali wa milambo kama Feruzi Teru alikua nooma. Hakuna mtemi kama brother Mwene. Mwizi namba moja ni kandege wengine wanafatia Black scorpion hili kundi lilikua balaa...
Back
Top Bottom